Hiki kifutu nacho, kina heka heka hatarii.Nimecheka. Eti Magoti kasema siku akifa wasitoe wallpaper ya Samia Suluhu kwenye Simu yake🤣🤣. Itamsaidia nini Mwananchi?
Wenzake wanaacha alama zinadumu na wananchi wanawakumbuka. Sasa Wallpaper itamsaidia nini Mkwere wa Kisarawe?
Uongozi ni ulaji mkuu. Wewe unataka Bashite akale wapi?
Mtu katoa ushauri tu, ila anafokewa. Tanzania nchi ya ajabu sana.Who cares? And who are you by the way?
Mbona miaka yote hiyo ndio jezi. Na wamechukua kutoka kwenye bendera ya taifaSasa jezi za Yanga ndio unataka zivaliwe na watanganyika wote, wakiwemo mashabiki wa Simba mkuu? Kavae wewe mwenyewe mwanaUtopolo na maUtopolo menzako.
NonsenseSasa jezi za Yanga ndio unataka zivaliwe na watanganyika wote, wakiwemo mashabiki wa Simba mkuu? Kavae wewe mwenyewe mwanaUtopolo na maUtopolo menzako.
Sasa kama wamechukua kutoka bendera ya Taifa ndio watuvalishe jezi ya Yanga mkuu? MwanaSimba mwenzangu, Bwana Makonda yupo sahihi kupiga marufuku hiyo mijezi yenu ya Yanga.Mbona miaka yote hiyo ndio jezi. Na wamechukua kutoka kwenye bendera ya taifa
Inji ngumu sana hii