britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Makonda akijibu swali la Zembwela baada ya kuulizwa uvumi wa kuwa hakuwa likizo ya kawaida bali ilikuwa matibabu…
"Kuna kipindi niliokolewa na kiongozi mkubwa kabisa wa chombo kwa kuniambia hapo ulipo chomoka. ilikuwa ni attempt ya mara tatu ya kumwagiwa tindikali, kwa hiyo na hilo la sumu liweke tu ndani alafu ntakuja kukufundisha na Biblia inasemaje kwa watu wanaokula sumu"
www.jamiiforums.com

Tetesi: - Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi? Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu. Britanicca. Pia soma >> GE2025 - Makonda: Nililishwa sumu nikiwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ilikuwa nife mwaka jana