chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Makonda sasa asuke au anyoe, Kinana ametoa kauli kwamba falsafa ya Rais Samia ni kufuata Katiba sheria na kanuni, na kwamba watendaji wasidhalilishwe na viongozi.
Naiona falsafa ya makonda ya kudhalilisha ili apate umaarufu inagonga mwamba, je nini hatma yake?
Atabadili gia angani na kwanza kueneza itikadi ya chama badala ya kutembea huku na kule akidhalilisha watendaji?.
View: https://www.youtube.com/watch?v=7x2fG4Mbs0E