sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Kinana ndiye amebakia pekee, sema tu uzee unaanza kuleta shidaKwa Samia, Makonda ni muhimu kuliko huyo Kinana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinana ndiye amebakia pekee, sema tu uzee unaanza kuleta shidaKwa Samia, Makonda ni muhimu kuliko huyo Kinana.
Ngoja Tusubiri tuone !!Kumdhalilisha mtu ni kumtaka afanye kitu ambacho hatakiwi kufanya au kinachochafua utu wake.
Makonda ye anahamasisha utendaji na uwajibikaji bila kuoneana haya. Huyo samia mwenyewe amewashawaambia viongozi wenzie stupid hadharani tena mara mbili.
Kinana anajaribu kufukuzana na Makonda. Kitu ambacho atafeli. Hao kina Kinana walipewa nafasi Makonda akiwa benchi wakadhani wamepewa ulaji. Mwanaume anapiga kazi ndio wanashtuka.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Mmmh !! Ngoja tuone !Komredi Makonda aliwahi kumdhalilisha nani hadharani tangu amekuwa Katibu Itikadi, Uenezi na Mafunzo? Mtaje mmoja.
Na kama kweli Komredi Kinana kamsema Makonda huoni kuwa yeye ndio kamdhalilisha Komredi Makonda hadharani? Alishindwa vipi kumwambia ofisini? Na unafikiri nani wa kishughulikiwa hapo?
Kwani Makonda kamdhalilisha nani so far..tangu arejee!!?Makonda salsa asuke au anyone, Kinana ametoa kauli kwamba falsafa ya Rais Samia ni kufuata Katiba sheria na kanuni, na kwamba watendaji wasidhalilishwe na viongozi.
Naiona falsafa ya makonda ya kudhalilisha ili a late umaarufu inagonga mwamba, je nini hatma yake?
Atabadili gia angani na kwanza kueneza itikadi ya chama badala ya kutembea huku na kule akidhalilisha watendaji?.
View attachment 2841593
Kanda ya Ziwa ya wapi anakosikilizwa Makonda? Nipo Kanda ya Ziwa, hapa Mwanza, sijawahi kumsikia yeyote akitoa positive comments kwa Makonda. Au hao watu anaowasombasomba kwaajili ya mikutano yake, ndio wamekuwa wawakilishi wa watu wote wa kanda ya Ziwa?Haelewi mchezo unavyokwenda,Kanda ya Ziwa Mwanaume anayesikilizwa ni Makonda,anafikiri Mama mjinga kumrudisha Makonda!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Hata kama ni kuachia damu changa, ndiyo wa kuachiwa awe mtekaji, muuaji, mfoji vyeti vya masomo, Bashite?Zama za Mzee Kinana zimepita, wakati mwingine Wazee wawe na busara za kukaa pembeni kuwaachia damu Changa madaraka. No thanks
Haelewi mchezo unavyokwenda,Kanda ya Ziwa Mwanaume anayesikilizwa ni Makonda,anafikiri Mama mjinga kumrudisha Makonda!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Ficha upumbavu wako, pamoja na muuaji wa TemboMakonda salsa asuke au anyone, Kinana ametoa kauli kwamba falsafa ya Rais Samia ni kufuata Katiba sheria na kanuni, na kwamba watendaji wasidhalilishwe na viongozi.
Naiona falsafa ya makonda ya kudhalilisha ili a late umaarufu inagonga mwamba, je nini hatma yake?
Atabadili gia angani na kwanza kueneza itikadi ya chama badala ya kutembea huku na kule akidhalilisha watendaji?.
View attachment 2841593
Kinana ni spent force hana jipyaKwa Samia, Makonda ni muhimu kuliko huyo Kinana.