Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Sasa kama upo ofisi za bavicha muda wote utasikia habari positive juu ya makonda kweli?Kanda ya Ziwa ya wapi anakosikilizwa Makonda? Nipo Kanda ya Ziwa, hapa Mwanza, sijawahi kumsikia yeyote akitoa positive comments kwa Makonda. Au hao watu anaowasombasomba kwaajili ya mikutano yake, ndio wamekuwa wawakilishi wa watu wote wa kanda ya Ziwa?
Si Makonda wala si Kinana, mwenye ushawishi Kanda ya Ziwa.