Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Wewe umekuja Duniani jana? Hivi aliyemdhalilisha mkurugenzi wa jiji la Dar hadharani, mbele ya Rais Magufuli, na kisha mzee wa watu kufa ghafla kwa mshtuko, anaitwa nani?Komredi Makonda aliwahi kumdhalilisha nani hadharani tangu amekuwa Katibu Itikadi, Uenezi na Mafunzo? Mtaje mmoja.
Na kama kweli Komredi Kinana kamsema Makonda huoni kuwa yeye ndio kamdhalilisha Komredi Makonda hadharani? Alishindwa vipi kumwambia ofisini? Na unafikiri nani wa kishughulikiwa hapo?