Watajua wenyeweKumdhalilisha mtu ni kumtaka afanye kitu ambacho hatakiwi kufanya au kinachochafua utu wake.
Makonda ye anahamasisha utendaji na uwajibikaji bila kuoneana haya. Huyo samia mwenyewe amewashawaambia viongozi wenzie stupid hadharani tena mara mbili.
Kinana anajaribu kufukuzana na Makonda. Kitu ambacho atafeli. Hao kina Kinana walipewa nafasi Makonda akiwa benchi wakadhani wamepewa ulaji. Mwanaume anapiga kazi ndio wanashtuka.
Makonda Moto wa Mabua🤣🤣🤣Makonda salsa asuke au anyone, Kinana ametoa kauli kwamba falsafa ya Rais Samia ni kufuata Katiba sheria na kanuni, na kwamba watendaji wasidhalilishwe na viongozi.
Naiona falsafa ya makonda ya kudhalilisha ili a late umaarufu inagonga mwamba, je nini hatma yake?
Atabadili gia angani na kwanza kueneza itikadi ya chama badala ya kutembea huku na kule akidhalilisha watendaji?.
HowMakonda Moto wa Mabua🤣🤣🤣
Kaharibu tena.
Jamaa hana nyota
Haelewi mchezo unavyokwenda,Kanda ya Ziwa Mwanaume anayesikilizwa ni Makonda,anafikiri Mama mjinga kumrudisha Makonda!Kwa Samia, Makonda ni muhimu kuliko huyo Kinana.
Sasa ngoja tuoneHaelewi mchezo unavyokwenda,Kanda ya Ziwa Mwanaume anayesikilizwa ni Makonda,anafikiri Mama mjinga kumrudisha Makonda!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Yule kawekwa na system kwa kazi maalumu!Sasa ngoja tuone
Ana kimaviMakonda Moto wa Mabua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kaharibu tena.
Jamaa hana nyota
Kinana kayasema hayo kwa niaba ya Mwenyekiti. Nyamitako ameshayatimba