Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Dec 14, 2023 #101 Yaani tuna unafuu bado kama watu wanaambiana kwa sitara Ila kwenye mikutano yao huwa wanatuteta nini au huwa wana mambo yao ya kutupiga tu Na haya wasituambie sisi waambiane nyuma ya Pazia hayatuhusu Sisi tunataka kujua hawa wanaokula mamilioni na hawafungwi wanalindwa na nani?6
Yaani tuna unafuu bado kama watu wanaambiana kwa sitara Ila kwenye mikutano yao huwa wanatuteta nini au huwa wana mambo yao ya kutupiga tu Na haya wasituambie sisi waambiane nyuma ya Pazia hayatuhusu Sisi tunataka kujua hawa wanaokula mamilioni na hawafungwi wanalindwa na nani?6
M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 7,731 Reaction score 13,611 Apr 24, 2024 #102 Kumbe zero brain alishaonywa tena kitambo tu.