Makonda kusuka au kunyoa: Kinana awataka watendaji wafuate muongozo wa Rais kwa kutodhalilisha watendaji hadharani

Makonda kusuka au kunyoa: Kinana awataka watendaji wafuate muongozo wa Rais kwa kutodhalilisha watendaji hadharani

Yaani tuna unafuu bado kama watu wanaambiana kwa sitara
Ila kwenye mikutano yao huwa wanatuteta nini au huwa wana mambo yao ya kutupiga tu

Na haya wasituambie sisi waambiane nyuma ya Pazia hayatuhusu

Sisi tunataka kujua hawa wanaokula mamilioni na hawafungwi wanalindwa na nani?
Screenshot_20231213_191735_Instagram~2.png
6
Screenshot_20231213_191216_Instagram~3.png
 
Back
Top Bottom