Tetesi: Makonda Kuwa Spika 2020-2025?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Kuna uwezekano Makonda kuja kuwekwa kuwa Spika baada ya uchaguzi mwaka huu kama Magufuli atashinda. Ndio maana ile sheria yetu kuwalinda Rais, Spika, Waziri Mkuu na Jaji Mkuu inapitishwa haraka ili kwenda kulinda mambo yake. Mimi najiuliza tu mtu ambaye hana hata course ya sheria anakuwaje Spika?

Je hii kitu wadau imekaaje? bunge litakuwaje chini ya mtu design ya Makonda.
 
amepangwa kumbadili mzee wa kusini "Katelefoni".
 
Sio bure umerogwa ,na aliekuroga kafa
 
Ni jambo jema!
 
Bunge litageuka Coco beach
Ikifika hatua iyo basi ,tz tutakua tumerogwa .Nakubali anaweza pewa vyeo vingine sio uspeeker,hapo inakua too much kwamba Ccm nzima hakuna watu stahiki wa kutmikia cheo hicho ambacho
ni nyeti ,acheni mzaa taifa haliwezi chezewa kwa kiwango icho ,
Nakataa hakuna cha tetesi ni uongo na uzushi
 
Sioni hilo likitokea na endapo ikawa kweli basi remote control ya nchi imechezewa kuanzia usalama wa taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…