barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Hapa naamini unaota...Kuna uwezekano Makonda kuja kuwekwa kuwa Spika baada ya uchaguzi mwaka huu kama Magufuli atashinda. Ndio maana ile sheria yetu kuwalinda Rais, Spika, Waziri Mkuu na Jaji Mkuu inapitishwa haraka ili kwenda kulinda mambo yake. Mimi najiuliza tu mtu ambaye hana hata course ya sheria anakuwaje Spika?
Je hii kitu wadau imekaaje? bunge litakuwaje chini ya mtu design ya Makonda.