Tetesi: Makonda Kuwa Spika 2020-2025?

Tetesi: Makonda Kuwa Spika 2020-2025?

Eti Urais ni kazi ngumu? Kama asemaye Barakola ni sawa na titi LA mwanamke kaweza unadhani kuna atakaye shindwa mwingine?
Labda nchi nyingine lakini sio Tanzania
Ni kazi ngumu Kama nia yako ya kuwa raisi ili upambane na watu,ili uwaumize watu ili upate furaha,Ila kama nia yako ni kuwatumikia watu hakuna kazi nyepesi Kama hio sababu kinachoongoza ni mifumo na we kazi yako ni kuisimamia mifumo tu Mambo yanaenda.
 
Lazima amlinde maana madudu yao watajifukia vipi ? Wako wengi Makonda na Dotto pia ....!!
 
Kigogo alishasema kitambo nadhani majasusi wa kijeshi wameshajipanga kuokoa nchi kwenye ombwe la uongozi!!!
Labda Kama sio wanufaika wa mfumo,Kama ni wanufaika sahau kuhusu Hilo, waafrika ni tofauti na weupe wao Wana umoja wa kitaifa ujali maslai ya taifa hata kwa kulala njaa ili wengine wapone.Sisi mtu anaposhibia katu hawezi kujali au kufikiria maumivu ya wengine sababu ubinafsi ni asili yetu yaani Mimi kwanza.Case study wangekuwa wanajali kuhusu maslai ya taifa tusingefikia hapa kwenye ukomunist.
 
inawezekana maana wanachama wa ccm ni kama ng’ombe wanafata amri ya mwenyekiti
 
Cha kushangaza makonda yuko na ndoto za kuwa rais wa nchi hii
Watu wakicheza October ndie subwoofer ajae wa kudumu hadi boss wake atakapochoka labda 2040 hivi anamuachia ili amlinde nae apige Kama miaka 40 hivi yaani Hadi achoke nae anamuachia atakaemlinda.
Yote ni sababu ya hofu watarudije kwa Jamii, salama pekee ni kung'ang'ia madarakani.Ila hii yote ni hofu tu fear of unknown,watz hatuna tabia za kulipa visasi kila mtu na hamsini zake.
 
Sioni hilo likitokea na endapo ikawa kweli basi remote control ya nchi imechezewa kuanzia usalama wa taifa.
Kama imeweza chezea for 5 yrs kipi kitakachozuia,wao utwangwa pesa tu wanatulia,hakuna mnufaika yeyeto akaharibu anaponufaika.Uamuzi pekee upo kwa wananchi Kama wataona ni sawa au wataamua kuupinga au kuukubali uovu ni wao watu.
 
Ipo hati hati ya Wasukuma kutawala kwa miaka 60 mfululizo,kimzahamzaha tu hivi.
 
Huyo ni "Criminal Suspect" na hata hapo alipo yupo kimakosa. Huyo hana future yoyote ni swala la muda tu.

Huwezi kuongoza watu na vyeti feki na inatakiwa apatiwe muda akajibu tuhuma nyingi zinazomkabili. He is unfit to run for any public office.
 
Yaani huyo muuaji na mwizi aliyepigwa marufuku kuingia kwenye nchi zingine ndio eti angekuwa spika..!! Spika asiyeweza kusafiri kwenda kwenye nchi zingine.
 
Hakuna anae kula raha kama yeye dunia nzima mpaka sasa mwenzenu sio falaa anakula raha zake dar bila wasiwasi sema anajua kuishi na watu na anasalimia hadi wadogo akizunguka kila sehemu nzuri na range rover yake
 
Back
Top Bottom