Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Ni kazi ngumu Kama nia yako ya kuwa raisi ili upambane na watu,ili uwaumize watu ili upate furaha,Ila kama nia yako ni kuwatumikia watu hakuna kazi nyepesi Kama hio sababu kinachoongoza ni mifumo na we kazi yako ni kuisimamia mifumo tu Mambo yanaenda.Eti Urais ni kazi ngumu? Kama asemaye Barakola ni sawa na titi LA mwanamke kaweza unadhani kuna atakaye shindwa mwingine?
Labda nchi nyingine lakini sio Tanzania