barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Hapa naamini unaota...Kuna uwezekano Makonda kuja kuwekwa kuwa Spika baada ya uchaguzi mwaka huu kama Magufuli atashinda. Ndio maana ile sheria yetu kuwalinda Rais, Spika, Waziri Mkuu na Jaji Mkuu inapitishwa haraka ili kwenda kulinda mambo yake. Mimi najiuliza tu mtu ambaye hana hata course ya sheria anakuwaje Spika?
Je hii kitu wadau imekaaje? bunge litakuwaje chini ya mtu design ya Makonda.
Naungana nawe...spika ajaye ni Yule mama modo..Naibu spika wa sasaHata kama anapendwa kiasi gani....hapo hata atambike bila mavazi hawezi pewa..not to that extent [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani Job Ndugai kasemaje?Kuna uwezekano Makonda kuja kuwekwa kuwa Spika baada ya uchaguzi mwaka huu kama Magufuli atashinda. Ndio maana ile sheria yetu kuwalinda Rais, Spika, Waziri Mkuu na Jaji Mkuu inapitishwa haraka ili kwenda kulinda mambo yake. Mimi najiuliza tu mtu ambaye hana hata course ya sheria anakuwaje Spika?
Je hii kitu wadau imekaaje? bunge litakuwaje chini ya mtu design ya Makonda.
Hizo ndogo huwezi amini hata wewe unazo ila yeye haziko kichwani bali kwenye yale masaburiCha kushangaza makonda yuko na ndoto za kuwa rais wa nchi hii
Cv ni uwezo wako wa kuimba kwaya.Kuna uwezekano Makonda kuja kuwekwa kuwa Spika baada ya uchaguzi mwaka huu kama Magufuli atashinda. Ndio maana ile sheria yetu kuwalinda Rais, Spika, Waziri Mkuu na Jaji Mkuu inapitishwa haraka ili kwenda kulinda mambo yake. Mimi najiuliza tu mtu ambaye hana hata course ya sheria anakuwaje Spika?
Je hii kitu wadau imekaaje? bunge litakuwaje chini ya mtu design ya Makonda.
Kama mkifanya kosa October anawezaLabda kwenye Jamuhuri ya Nyanza sio ta Tanzania hivi Bashite ni wa kukalia Kiti cha Uspika tukiwa hai?
Ccm ipi,ccm ilishakufa na Nyerere,hii iliuzwa chattle, mmiliki wa chama ndie mwenye maamuzi kwani sumu haionywiIkifika hatua iyo basi ,tz tutakua tumerogwa .Nakubali anaweza pewa vyeo vingine sio uspeeker,hapo inakua too much kwamba Ccm nzima hakuna watu stahiki wa kutmikia cheo hicho ambacho
ni nyeti ,acheni mzaa taifa haliwezi chezewa kwa kiwango icho ,
Nakataa hakuna cha tetesi ni uongo na uzushi
Hivi watu tunafikilia uraisi ni kazi nyepesi,Cha kushangaza makonda yuko na ndoto za kuwa rais wa nchi hii
Bungeni yupo AG tayari kutafsiri sheria..sio kazi ya spika kutafsiri sheria hivyo sio lazima asome sheria.Kuna uwezekano Makonda kuja kuwekwa kuwa Spika baada ya uchaguzi mwaka huu kama Magufuli atashinda. Ndio maana ile sheria yetu kuwalinda Rais, Spika, Waziri Mkuu na Jaji Mkuu inapitishwa haraka ili kwenda kulinda mambo yake. Mimi najiuliza tu mtu ambaye hana hata course ya sheria anakuwaje Spika?
Je hii kitu wadau imekaaje? bunge litakuwaje chini ya mtu design ya Makonda.
No Mkuu kinadhalia Wenda ukawa saw aCcm ipi,ccm ilishakufa na Nyerere,hii iliuzwa chattle, mmiliki wa chama ndie mwenye maamuzi kwani sumu haionywi
Anasema ndiyo maana anavaa barakoa anasikia harufu ya kifurufumbi kina kinakuja fumua mabati ya mjengoKwani Job Ndugai kasemaje?
ahahaahaha ni kweli kabisaMakonda anavopewa vyeo ni Kama enzi zile rizione alivokuwa anapewa utajiri. Kila biashara kubwa alitajwa anamkono wake.
Eti Urais ni kazi ngumu? Kama asemaye Barakola ni sawa na titi LA mwanamke kaweza unadhani kuna atakaye shindwa mwingine?Hivi watu tunafikilia uraisi ni kazi nyepesi,
Sikatai kila mtu anao uwezo wa kuutaka
hata Mimi nautaka maana ni haki kila MTU
kikatiba kama umetimiza vigezo but
Lazima ujipime kweli waweza,mfano
Mimi binafsi nautaka na vigezo vipo ila
Si huwezi.Urais ni mgumu unahitaji
mambo mengi bila kusahau uvumilivu
CHA MSINGI
Nikuelewa tz kwanza na hakuna na
atatokea Mwenye hati miliki ya tz ni jambo
la mda tu tue hai au tumefukiwa maana
twaongea Leo lakini lazima tufe but tz itabaki so yatupasa mahamuz sahii kuhusu
Taifa hili
Mmiliki wa chama ndie mwenye maamuzi rejea ishu ya manunuzi, chaguzi marejeo,kufukuzwa membe,nk hayakuwa maamuzi ya wanachama,Bali ya mwenye chama.No Mkuu kinadhalia Wenda ukawa saw a
Ila kihalisia IPO na ndo yaongoza dola but
yote kwa yote bila kupinga mawazo yako
kama hii iko hivyo basi ikitokea na Kwanzaa
haiwezi tokea sijui ila moto wake da .na haiwezi fika huko mark my word