Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Hatimaye Mawaziri Vigogo ya Serikali ya Rais Samia ambao ni Profesa Kabudi, William Lukuvi na Kamishna wa mafunzo Jeshi la polisi Awadhi wakutana na Paul Makonda na kufanya kikao kizito na Kamati ya Usalama ya Mkoa Arusha.
Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi (kushoto), Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu William Lukuvi (kulia) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda wakiwa katika picha ya pamoja walipowasili kwenye ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Karatu ambapo wakiwa wilayani humo leo Agosti 23, 2024 watafanya shughuli mbalimbali.
Soma Pia:
Hatimaye Mawaziri Vigogo ya Serikali ya Rais Samia ambao ni Profesa Kabudi, William Lukuvi na Kamishna wa mafunzo Jeshi la polisi Awadhi wakutana na Paul Makonda na kufanya kikao kizito na Kamati ya Usalama ya Mkoa Arusha.
Soma Pia:
- Wamasai wa Ngorongoro watoa tamko kunyang'anywa haki ya kupiga kura 2024 na 2025
- Mahakama yazuia Vijiji vya Ngorongoro Kufutwa