Makonda, Lukuvi pamoja na Kabudi waelekea ziarani Ngorongoro

Ndugu zangu Watanzania,

Hiyo ndio habari kuu inayoendelea kusambaa Nchini kwote kaeni kwa kutulia nitaendelea kuwaleteeni habari zote kutoka katika mkoa wa Mwamba Mwenyewe wa kaskazini Mheshimiwa Paul Makonda kijana jasiri kusini Mwa jangwa la Sahara.View attachment 3077170

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Na yule kibaka Awadh naye amejipeleka huko....Massai shikilieni hapo hapo mpaka Kizimkazi asemeee
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hiyo ndio habari kuu inayoendelea kusambaa Nchini kwote kaeni kwa kutulia nitaendelea kuwaleteeni habari zote kutoka katika mkoa wa Mwamba Mwenyewe wa kaskazini Mheshimiwa Paul Makonda kijana jasiri kusini Mwa jangwa la Sahara.View attachment 3077170

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Lucas Mwashambwa naona sijui ulishachoka kuweka namba yako ya simu.
 
CCM wakukumbuke Lucas,unajitoa sana Mkuu!
Mwanzo nilikuwa nakuona chawa tu,ila consistency yako imenifanya niamini kuwa hii kwako ni DEDICATION.
Mkuu Lucas ni chawa bingwa ndio maana unaona kama sio chawa yani ni brigadier la machawa ila ni mwenetu tuko nae humu hatukani mtu wala nini ingawa anatuudhi na u big chawa wake
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hiyo ndio habari kuu inayoendelea kusambaa Nchini kwote kaeni kwa kutulia nitaendelea kuwaleteeni habari zote kutoka katika mkoa wa Mwamba Mwenyewe wa kaskazini Mheshimiwa Paul Makonda kijana jasiri kusini Mwa jangwa la Sahara.View attachment 3077170

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hawa Watu wanaenda kuzungumza nini huko? Wana lipi hasa na maana Sana au la muhimu sana linalofaa kwenda kuwaeleza Wananchi wa Ngorongoro?
 
Rais Samia ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga tuuu
Ukweli ni kwamba Samia ndio Rais dhaifu kuliko woote kupata kutokea ktk nchi hii ndio maana inatumika nguvu kubwa mno kumkampenia aendelee kubaki madarakani!.
Hii nguvu inayotumika ni kama vile yeye ni mpya kabisa kwamba hakuna mwananchi yeyote yule anayemfahamu!!.
 
Back
Top Bottom