Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Haiwezekani hata kidogo.ni kifo tu ndio kitatutenganisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haiwezekani hata kidogo.ni kifo tu ndio kitatutenganisha.
Relax dogo, wapi nimetukana hapa? Kwani uwongo muamala haujaingia au unataka kumbania ephen_ asijue kuwa unadaka?Labda wewe ndiye unalipwa kwa ajili ya kuporomosha matusi humu kama kichaa au mwendawazimu
Uchawa uliokubuhu!Kumbe naye kavaa samia kifuani. Njaa hizi kama vile hawatakufa
Huyo aliishia O level tu wala hakuhangaika hata kuunga uunga, alitokea Uvccm akapanda panda hadi hapo alipo.Huyo aliyevaa hiyo tshirt yenye picha ya rais na siyo wakati wa kampeni bali yuko kazini naye ni msomi?
Hakuna, hasa Awadhi anafanya nini hzpo?Kuna jipya wanakuja nalo?
Shame on uNdugu zangu Watanzania,
Hiyo ndio habari kuu inayoendelea kusambaa Nchini kwote na nje ya mipaka ya Tanzania .Ambapo Mwamba Mwenyewe na kijana jasiri kusini mwa jangwa la Sahara Mheshimiwa Paul Christian Makonda ataongoza msafara mzito wa mawaziri wazito na wasomi kwelikweli kuitembelea na kuzungumza na wananchi wa Ngorongoro.
Ambapo katika msafara huo yupo waziri wa katiba na sheria Mheshimiwa Profesa Palamagamba Kabudi. Huyu ni waziri na mhadhiri mstaafu wa chuo kikuu cha Dar es salaam kitivo cha sheri.ambaye amewahi kuweka rekodi ya Mwanafunzi bora kabisaa katika Historia ya Taifa letu na huo kikuu cha UDSM .
kwa kupata alama za juu sana katika sheria .narudi kusisitiza kuwa alama za juu katika sheria.maana ukienda katika uchumi yupo Mwamba Mwingine Profesa Ibrahim haluna Lipumba..
Lakini pia katika ziara hiyo yupo pia Waziri Mwingine wa muda mrefu sana na katika awamu tofauti tofauti na aliyekuwa mshauri wa Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mheshimiwa William Lukuvi.
Kwa hakika naamini kwa safu hiyo ya magwiji hawa basi wananchi wa Ngorongoro watapigwa Simo zuri mpaka wabakie wanabubujikwa machozi ya furaha bila kukatika utafikiri wamepakwa pilipili machoni.
Kikubwa endelea kubwa hapa hapa jukwaani na kuendelea kuwa karibu yangu ili kuendelea kupata habari motomoto kutoka huko Ngorongoro mkoani Arusha. Tarajieni hotuba nzito nzito kutoka kwa miamba na majabali haya zitakazo teka Nchi
View attachment 3077170
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
MmmmmhAsijaribu kwenda, tunamjua Lema na ushawishi wake, wakimpa dakika tano tu za kuongea na wananchi hadi simba wataikimbia ngorongoro, ghorofa liliwahi kuvunjwa kwa mikono bila sururu wala nyundo huko arusha kwa ushawishi wake, Asiende!
Nakubaliana nayeMwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema atakwenda Ngorongoro kuungana na Makonda Lukuvi Kabudi na Afande Awadh katika kuwasikiliza Wamasai na kilio Chao
Lema amesema ukurasani X
My take; Sukuma gang hawajawahi kufeli 😃
Lema ni Mwenyekiti wa kanda acha aendeAsijaribu kwenda, tunamjua Lema na ushawishi wake, wakimpa dakika tano tu za kuongea na wananchi hadi simba wataikimbia ngorongoro, ghorofa liliwahi kuvunjwa kwa mikono bila sururu wala nyundo huko arusha kwa ushawishi wake, Asiende!
Mrangi wa DodomaAwadhi ni Mzanzibari???
Nauliza tu.
Baba ake ni mzanzibar usipindishe mama ndiyo Mrangi, bara hatuna majitu makatili kiasi hichoMrangi wa Dodoma
Yes ni mzanzibar lakini maza ndiyo mrangiAwadhi ni Mzanzibari???
Nauliza tu.
Uchaguzi mnafanya lini?Lema ni Mwenyekiti wa kanda acha aende