Makonda, Lukuvi pamoja na Kabudi waelekea ziarani Ngorongoro

Makonda, Lukuvi pamoja na Kabudi waelekea ziarani Ngorongoro

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema atakwenda Ngorongoro kuungana na Makonda Lukuvi Kabudi na Afande Awadh katika kuwasikiliza Wamasai na kilio Chao

Lema amesema ukurasani X

My take; Sukuma gang hawajawahi kufeli 😃
Muuaji Awadh anafuata nini Ngorongoro?

Sasa tunaamini huyu afande Awadh ni icon ya Hangaya. Ana baraka zote za kuua kutoka kwa boss
 
..Kabudi, Lukuvi, na Makonda, ni wanasiasa wenye kiburi kwelikweli.

..Lakini leo mbele ya Wamaasai wameweka pembeni viburi vyao,na kuwapigia magoti wananchi.

..Nimemsikia Makonda akiomba nyimbo za Kimaasai.

..Kabudi amemtaja neno HAKI mara kadhaa. Mwana-Ccm ni mwiko kutaja neno haki lakini kwa wananchi wamelitaja.

..Kwa kifupi wananchi wa Ngorongoro wameonyesha njia. Wamekataa kunyanyaswa.


View: https://m.youtube.com/watch?v=Xj9xjdD7bcw&pp=ygURa2FidWRpIG5nb3Jvbmdvcm8%3D
 
Back
Top Bottom