Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Anatamani sana kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani.Jezi zimemshinda amekimbilia maandamano. Shauri zake
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda, amepuuza taarifa na uvumi unaosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuwepo kwa maandamano ya kuzuia michezo kuelekea Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), akisisitiza kuwa hakuna maandamano yoyote na kwamba wananchi wanajikita katika kutafuta riziki zao halali.
Akijibu maswali ya waandishi wa habari leo, Septemba 24, 2026, jijini Dar es Salaam, Waziri Makonda ameeleza kuwa kauli hizo za maandamano ni maneno ya kimitandao yanayochangiwa na bei nafuu ya vifurushi vya intaneti. Amesisitiza kuwa mtazamo na lengo kuu la Mtanzania ni kufanya kazi kwa amani ili kujipatia kipato halali cha kuhudumia familia yake
"Nafikiri tu ni mabando tu haya yamezidi kuwa na bei nafuu wakati sisi wengine tunaona mabando ya gharama kubwa lakini wenzetu wanaona bei nafuu. Lakini Mtanzania anataka kupata kipato chake halali, anataka kutoka nyumbani asubuhi akahemea arudi nyumbani watoto wake wafanye nini? Wale", ameeleza Makonda.
Apewe nani?Paulo Makonda hatoshi kuwa Waziri kwenye Wizara yoyote ile.
Samia Hassan litazame hilo kwa macho matatu
Samia ana preferences nyingi, anajua nani anatakiwa kuchukua nafasi ya Makonda.Apewe nani?
Leta jina… sisi ni wazuri wa kukosoaSamia ana preferences nyingi, anajua nani anatakiwa kuchukua nafasi ya Makonda.
Una utimamu?Leta jina… sisi ni wazuri wa kukosoa
Wanamzunguka Maza kupata ngawira kwakumdanganya atenge funguJezi zimemshinda amekimbilia maandamano. Shauri zake
Very correct, promo ndio hizo.Ndiyo wanaanzaga hivi hivi kuyapromote mdogo mdogo. Hadi ukifika huo muda unakuta mambo yamepamba moto.
Una matatizo weweUna utimamu?
Nimekwambia Rais ana preferences nyingi. Au huelewi maana ya neno preferences?
Hii promosi code tulis tulisikia hivi hivi before October 29 viongozi watumie busara hata kidogo wasidhihaki wananchi na Amani ya uongo ile hali haipo
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda, amepuuza taarifa na uvumi unaosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuwepo kwa maandamano ya kuzuia michezo kuelekea Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), akisisitiza kuwa hakuna maandamano yoyote na kwamba wananchi wanajikita katika kutafuta riziki zao halali.
Akijibu maswali ya waandishi wa habari leo, Septemba 24, 2026, jijini Dar es Salaam, Waziri Makonda ameeleza kuwa kauli hizo za maandamano ni maneno ya kimitandao yanayochangiwa na bei nafuu ya vifurushi vya intaneti. Amesisitiza kuwa mtazamo na lengo kuu la Mtanzania ni kufanya kazi kwa amani ili kujipatia kipato halali cha kuhudumia familia yake
"Nafikiri tu ni mabando tu haya yamezidi kuwa na bei nafuu wakati sisi wengine tunaona mabando ya gharama kubwa lakini wenzetu wanaona bei nafuu. Lakini Mtanzania anataka kupata kipato chake halali, anataka kutoka nyumbani asubuhi akahemea arudi nyumbani watoto wake wafanye nini? Wale", ameeleza Makonda.
Bora wampe ili azame shimoni Moja kwa Moja kama Bashungwa.Anatamani sana kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani.