GE2025 Makonda: Mtu asiyepiga kura anafanana na mwanaume asiyetoa hela ya matumizi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameendelea na kampeni zake kwa kuzungumza na wananchi mbalimbali mkoani Geita katika Stendi Kuu ya Mkoa na Kijiwe cha Kahawa akiwahamasisha kumpigia kura Mgombea Urais wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan.

Leo Jumatatu Oktoba 13, 2025 Dk Samia anaendelea na mikutano ya kampeni mkoani Geita katika maeneo ya Nyawilimilwa, Geita Mjini, Katoro na Chato.
 
Hii kauli imaonesha mawazo ya mfumodume kuwa mwanaume ndiye anatia hela ya matumizi kila sehemu.
 
Hivi huyu kampeni huko Chuga town anako gombea, anafanya lini na mda gani?
Mbna yuko kupuyanga kwenye majimbo ya wenzie,
Hajistukiii? Lol
 
FB_IMG_17603425552254464.jpg
 
Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameendelea na kampeni zake kwa kuzungumza na wananchi mbalimbali mkoani Geita katika Stendi Kuu ya Mkoa na Kijiwe cha Kahawa akiwahamasisha kumpigia kura Mgombea Urais wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan.

Leo Jumatatu Oktoba 13, 2025 Dk Samia anaendelea na mikutano ya kampeni mkoani Geita katika maeneo ya Nyawilimilwa, Geita Mjini, Katoro na Chato.
Kupiga kura ni kuhalalisha maisha magumu kwa Watanzania. Msako utafanyika kila kona kila uchochoro, ole wake atakayekutwa ana alama ya rangi kwenye kidole. Kidole kitakatwa. Hatuwezi kuendelea kuishi na wasaliti mitaani.
 
Na wasiofanya kama wenye nchi wanavyotaka ni kama Makahaba...
 
Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameendelea na kampeni zake kwa kuzungumza na wananchi mbalimbali mkoani Geita katika Stendi Kuu ya Mkoa na Kijiwe cha Kahawa akiwahamasisha kumpigia kura Mgombea Urais wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan.

Leo Jumatatu Oktoba 13, 2025 Dk Samia anaendelea na mikutano ya kampeni mkoani Geita katika maeneo ya Nyawilimilwa, Geita Mjini, Katoro na Chato.
Licha ya kununua vyeti bado ujinga na upumbavu atazeeka nao.

Unawezaje Linganisha KURA na Matumizi nyumban? Wakati hiyo Kura ndio inaamua Matumizi ya nyumban?.
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Hivi huyu kampeni huko Chuga town anako gombea, anafanya lini na mda gani?
Mbna yuko kupuyanga kwenye majimbo ya wenzie,
Hajistukiii? Lol
Huyo ni Waziri Mkuu ajae….
Anajitambulisha…..
 
Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameendelea na kampeni zake kwa kuzungumza na wananchi mbalimbali mkoani Geita katika Stendi Kuu ya Mkoa na Kijiwe cha Kahawa akiwahamasisha kumpigia kura Mgombea Urais wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan.

Leo Jumatatu Oktoba 13, 2025 Dk Samia anaendelea na mikutano ya kampeni mkoani Geita katika maeneo ya Nyawilimilwa, Geita Mjini, Katoro na Chato.

Kwa hiyo kwenye kampeni wako busy wanatafuta pesa za matumizi ....!!?

Yaani safari hii mtu atakayepiga kura ni Tahahira fulani.
 
Hivi huyu kampeni huko Chuga town anako gombea, anafanya lini na mda gani?
Mbna yuko kupuyanga kwenye majimbo ya wenzie,
Hajistukiii? Lol

..Makonda ameanza kampeni za Uraisi 2030.
 
Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameendelea na kampeni zake kwa kuzungumza na wananchi mbalimbali mkoani Geita katika Stendi Kuu ya Mkoa na Kijiwe cha Kahawa akiwahamasisha kumpigia kura Mgombea Urais wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan.

Leo Jumatatu Oktoba 13, 2025 Dk Samia anaendelea na mikutano ya kampeni mkoani Geita katika maeneo ya Nyawilimilwa, Geita Mjini, Katoro na Chato.
Vyeti vyake vingekua vimenyooka angetolea huu mfano kwa viongozi ambao wameshindwa kudeliver kilichopo kwenye sera yetu ya mipango na maendeleo.
 
Back
Top Bottom