GE2025 Makonda: Mtu asiyepiga kura anafanana na mwanaume asiyetoa hela ya matumizi

GE2025 Makonda: Mtu asiyepiga kura anafanana na mwanaume asiyetoa hela ya matumizi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameendelea na kampeni zake kwa kuzungumza na wananchi mbalimbali mkoani Geita katika Stendi Kuu ya Mkoa na Kijiwe cha Kahawa akiwahamasisha kumpigia kura Mgombea Urais wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan.

Leo Jumatatu Oktoba 13, 2025 Dk Samia anaendelea na mikutano ya kampeni mkoani Geita katika maeneo ya Nyawilimilwa, Geita Mjini, Katoro na Chato.
Kwahiyo na yeye anataka aachiwe pesa ya matumizi kama wanawake wenzake atauponza msambwanda wake huo
 
Back
Top Bottom