Hii kauli imaonesha mawazo ya mfumodume kuwa mwanaume ndiye anatia hela ya matumizi kila sehemu.Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameendelea na kampeni zake kwa kuzungumza na wananchi mbalimbali mkoani Geita katika Stendi Kuu ya Mkoa na Kijiwe cha Kahawa akiwahamasisha kumpigia kura Mgombea Urais wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan.
Leo Jumatatu Oktoba 13, 2025 Dk Samia anaendelea na mikutano ya kampeni mkoani Geita katika maeneo ya Nyawilimilwa, Geita Mjini, Katoro na Chato.
Kura anazo tayari anasubiri kutangazwa tu.Hivi huyu kampeni huko Chuga town anako gombea, anafanya lini na mda gani?
Mbna yuko kupuyanga kwenye majimbo ya wenzie,
Hajistukiii? Lol
Wachaa wee!! Mbna heko kwake.Kura Amazon tayari anasubiri kutangazwa tu.
Kuna mwanajf namuona hapo mwenye kiglass
Kupiga kura ni kuhalalisha maisha magumu kwa Watanzania. Msako utafanyika kila kona kila uchochoro, ole wake atakayekutwa ana alama ya rangi kwenye kidole. Kidole kitakatwa. Hatuwezi kuendelea kuishi na wasaliti mitaani.Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameendelea na kampeni zake kwa kuzungumza na wananchi mbalimbali mkoani Geita katika Stendi Kuu ya Mkoa na Kijiwe cha Kahawa akiwahamasisha kumpigia kura Mgombea Urais wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan.
Leo Jumatatu Oktoba 13, 2025 Dk Samia anaendelea na mikutano ya kampeni mkoani Geita katika maeneo ya Nyawilimilwa, Geita Mjini, Katoro na Chato.
Licha ya kununua vyeti bado ujinga na upumbavu atazeeka nao.Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameendelea na kampeni zake kwa kuzungumza na wananchi mbalimbali mkoani Geita katika Stendi Kuu ya Mkoa na Kijiwe cha Kahawa akiwahamasisha kumpigia kura Mgombea Urais wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan.
Leo Jumatatu Oktoba 13, 2025 Dk Samia anaendelea na mikutano ya kampeni mkoani Geita katika maeneo ya Nyawilimilwa, Geita Mjini, Katoro na Chato.
Huyo ni Waziri Mkuu ajae….Hivi huyu kampeni huko Chuga town anako gombea, anafanya lini na mda gani?
Mbna yuko kupuyanga kwenye majimbo ya wenzie,
Hajistukiii? Lol
Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameendelea na kampeni zake kwa kuzungumza na wananchi mbalimbali mkoani Geita katika Stendi Kuu ya Mkoa na Kijiwe cha Kahawa akiwahamasisha kumpigia kura Mgombea Urais wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan.
Leo Jumatatu Oktoba 13, 2025 Dk Samia anaendelea na mikutano ya kampeni mkoani Geita katika maeneo ya Nyawilimilwa, Geita Mjini, Katoro na Chato.
Hivi huyu kampeni huko Chuga town anako gombea, anafanya lini na mda gani?
Mbna yuko kupuyanga kwenye majimbo ya wenzie,
Hajistukiii? Lol
Vyeti vyake vingekua vimenyooka angetolea huu mfano kwa viongozi ambao wameshindwa kudeliver kilichopo kwenye sera yetu ya mipango na maendeleo.Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameendelea na kampeni zake kwa kuzungumza na wananchi mbalimbali mkoani Geita katika Stendi Kuu ya Mkoa na Kijiwe cha Kahawa akiwahamasisha kumpigia kura Mgombea Urais wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan.
Leo Jumatatu Oktoba 13, 2025 Dk Samia anaendelea na mikutano ya kampeni mkoani Geita katika maeneo ya Nyawilimilwa, Geita Mjini, Katoro na Chato.
Kumbee..Makonda ameanza kampeni za Uraisi 2030.