Pre GE2025 Makonda: Mwacheni Mbowe afanye tu harambee za Kanisani, na ili afanikiwe lazima aje kwa Watu wa CCM. Inawezekana ile 150m iliyotoka ilikuwa 200m

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chadema ambayo haijawahi kuongoza nchi na sasa haina hata mbunge mmoja unaweza kweli kuilaumu kwa mauza uza yanayoendelea nchini,are you serious?
 
Yaani tushughulishwe na hilo senge,lini umemsikia kiongozi yoyote wa Chadema anamtaja huyo nyamitako? Yeye ndiyo kila mkutano wake lazima amtaje Mbowe na Lissu.
lisu ni mwepesi, hana impact yoyote ispokua mbowe....

check coments includes yako ndio utajua anawashughulisha πŸ˜€
 
Bashite ana utoto mwingi.Alikua anawaambia akina nani hivyo?Mimi napenda watoto ila utoto ndiyo sipendi.
 
Sijui kwanini Mungu awaangamizi watu hawa madhulumati wanaojifanya Wema kwa wananchi na bahati mbaya wapo watu wanawaamini kwamba eti ndiyo watetezi wao!
 
Haya yote ni makosa ya Mbowe kujifanya cheap kiasi ambacho mpaka wajinga wanakuchuliapo point!!, Alikuwa na ulazima gani kuwa sehemu ya kuchukua hiyo pesa!. Ni aibu kwa chama na kwake pia.... Ndio maana sitaki kusikia tena jina Mbowe ni ndimi mbili na hafai tena..!.
 
Bila shaka Makonda ni punguani.

Kwa mwenye akiliautajua wazi aliousema Makonda ni upuuzi na upumbavu wa hali ya juu. Hivi kweli inaingia akilini, Rais atoe mchango wa milioni 200, wewe usifikishe nyingine, halafu utangaze mbele ya umma, mbele ya vyombo vyote vya habari kuwa Rais amechangia 150m wakati amechangia 200m?

Huo ujinga nadhani unawafaa tu hao wajinga wenzake huko CCM.

Bila shaka huyu Makonda, mtu muuaji na mporaji wa mali za watu, damu za aliowaua zimemharibu akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…