MNFUMAKOLE
JF-Expert Member
- Nov 14, 2014
- 1,502
- 1,886
Hili rijamaa kishwa habari yake!!..Cyprian huyu hapa.
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili rijamaa kishwa habari yake!!..Cyprian huyu hapa.
Lugola hafai hata ujumbe wa nyumba kumi. Ni mropokaji na msakatongeKangi Lugola anafaa?
"Naitwa Mwanaharakati Huru Cyprian Majura Musiba sijatumwa na mtu yoyote wala chama na serikali"😅
Haya tuone nani atachapisha magazeti "yake" na gharama zake
Maguli ni pigo kubwa kwa taifa na Afrika kwa ujumla
Mkuu huyu mzee sijui ana hali gani huko aliko SAA hizi maana alikua anajikomba hadi ww mtu baki unaona aibu kwisha habari yake
Alitabiri nini vile?Utabiri wa Godbless Lema hakika umetimia.
Tena amelaaniwa.Amtegemeaye mwanadamu ni mjinga...
Mkuu unaiuliza sub woofer leo? Mboni nilijua ulishaifunga uwanjani tangu juzi😎😎Hivi subwoofer iko wapi?
Mkuu alitabiri Nini?Utabiri wa Godbless Lema hakika umetimia.
Alivyokuwa anamdharau!Magonda bado ana opportunity sababu Samia ni mshikaji wake sana.
Hiyo ilikuwa mwaka gani? Makonda imeisha hiyo siyo kwa CCM wala serikaliKwa taarifa fupi tuu soon Makonda atalamba teuzi
Utaniambia,na nitarudi hapa kukumbusha.
...Samia anampenda sana,kwenye bunge la katiba aliwahi kusema yeye ndiye aliyempendekeza awe VP wa kwanza mwanamke Tz.
Mwisho katufute clip ya Makonda akimpendekeza Samia Bungeni.