Makonda na Mwigulu Nchemba nani ataukwaa umakamu wa rais.

Mpaka sasa kuna 85% ya Makonda kuukwaa umakamu wa rais au Mwigulu Nchemba.

Mmoja kati ya hawa ndiye atakabidhiwa kijiti.

Tuweni wapole , muda utazungumza .

Mungu atuvushe salama kwenye hichi kipindi kigumu tunachopitia watanganyika.
Hizo zote ni ng"ombe
 
Sasa hapo atakuwa hajafanya kitu awekwe mzee anayesinzia tu akiamshwa anakata utepe anaenda zake kupumzika..
 
Mpaka sasa kuna 85% ya Makonda kuukwaa umakamu wa rais au Mwigulu Nchemba.

Mmoja kati ya hawa ndiye atakabidhiwa kijiti.

Tuweni wapole , muda utazungumza .

Mungu atuvushe salama kwenye hichi kipindi kigumu tunachopitia watanganyika.
Chai ☕️ ☕️ ☕️ ya nazi na viungo
 
Mpaka sasa kuna 85% ya Makonda kuukwaa umakamu wa rais au Mwigulu Nchemba.

Mmoja kati ya hawa ndiye atakabidhiwa kijiti.

Tuweni wapole , muda utazungumza .

Mungu atuvushe salama kwenye hichi kipindi kigumu tunachopitia watanganyika.
Hakunaaaa washindwee,hamna mwenysifaaa
 
Ngumbaru kama makonda nae ni wa kumfikiria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…