Makonda na Ndugai wako chimbo gani?

eti Tundu alikwepa mahakama....
 
Picha la kitambo hilo enzi hizo anaruhusiwa kukaa msatari wa mbele
Hapana Mkuu. Hii Picha si ya Kitambo,ni Picha iliyopigwa kwenye Msiba wa Dr. Mwele Seaview DSM ambapo Makonda alienda kutoa Pole. M O (Mohamed Dewji) nae alienda kutoa Pole. Sasa linganisha Maeneo ya Picha hizi mbili utaona yanafanana. Kwa hio Picha Hii ya Makonda si ya Kitambo
View attachment 2129665View attachment 2129666
 
Unafuga jibwa then linakuja kujun'gata kigimbi, poleni sana wazee wa legacy, maisha haya yanakwenda kwa kasi saana hakuna aliyetegemea pea hii yaani bashite na Jobo waishi kama digidigi mwituni.
Hao wote wanakuzidi maisha wewe pimbi! Ndugai anapata asilimia80% ya mshahara wa Spika mpaka mwisho wa maisha yake!,atajengewa nyumba sehemu atayochagua,mke wake mkurugenzi wa halmashauri,watoto wamepiga kitabu vizuri, anamafao some bilioni!,Makonda anapharmacy kibao, anaapartment Capri point masaki ya mwanza anaardhu ya kutosha kigamboni!,anabiashara na kilimo medium scale,Lisu anapewa matunzo na wazungu,watoto wake wanapata masomo shule nzuri na bado m/mwenyetiki wa CHADEMA! wewe pimbi na ID yako feck unaowaita digidigi!
 
Wana mali za wizi zote
 
Wakiwa na stress za kukosa mlo wanafikiri hata kwa kina Mkonda hivyohivyo!

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Akiongea kwa njia ya mtandao kupitia mjadala unaoendeshwa kupitia mtandao wa Clubhouse, Pia ndugu Catherine Ruge alisema amedokeza anashangaa watu wakihoji alipo aliyekuwa Spika wa bunge ndugu Job Yustino Ndugai wakati yeye anafahamu kuwa yupo Katika matibabu hospitali ya Apollo nchini India na Kuna ulinzi mkali umeimarishwa katika mahali alipo mgonjwa.

Taarifa za kuugua kwa Ndugai, Catherine Ruge amedai kuwa amezipata kutoka kwa mdogo wake ambaye walikuwa wakitibiwa pamoja katika hospitali hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…