Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Heshima sana wanajamvi,
Tangu Makonda ateuliwe Mkuu wa Mkoa wa Arusha amekuwa ni mtu wa harakati nyingi sana ambazo kwa kiasi kikubwa kawaweka watu busy pasipo sababu za maana.
Makonda alianza na harakati za vipimo (Matibabu) katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid.Zoezi hili lilileta faraja hasa wananchi wa kipato cha chini.
Zoezi la upimaji halikuwa na karaha kwakuwa lilifanyika sehemu sahihi.
Makonda hapoi kaazisha haraka za nyama choma.Harakati hizi liliambatana na kufungwa baadhi ya barabara maeneo ya Clock Tower kuelekea zilipo ofisi za halimashauri ya Jiji.
Msongamano wa magari na ukosefu mkubwa wa maegesho ya magari ilikuwa karaha kubwa na usumbufu wa kujitakia.
Makonda kanzisha mashindano ya pikipiki ambayo yalisababisha vifo kwakuwa pikipiki zilizotumika katika mashindano hayo hazikuwa na ubora wa kuhimili mashindano.
Makonda kaanzisha tena Land Rover festival akitaka kuweka rekodi iliyokuwa na maana yoyote kwa maisha ya mtanzania.
Makonda tena karejea mchezo wake mchafu wa kufunga barabara maeneo ya Stadium na Kaloleni hakika mji wa Arusha umekuwa mchungu kupitia zoezi hili la kufunga barabara nyingi na kuwaacha wakazi wa Arusha wakimshangaa Makonda na team yake ya wataalamu wasiokuwa na utaalamu.