Makonda na usumbufu Jijini Arusha

Makonda na usumbufu Jijini Arusha

Fikiria unapita banda la Wizara ya Maji mziki mkubwa wakati Arusha week ya pili hakuna maji.
 
Ukipita banda la PPRA unabaki kushangaa hawajui kujieleza hawana ufahamu wa kutosha juu ya kazi zao.

Wamekuja kwaajili ya kulipana posho tu.
 
Asilimia kubwa ya vitu anavyo fanya havina maana kwa Taifa bali ni sifa za kijinga tuu,,, coz watanzani wengi hupenda
 
Mama yake alisema anachangamsha mji,huko vijijini wakulima hawana hata mbegu,watoto wa wao baadhi hata daftari ya sh 700 hawana,yeye ni show za mjini tu!!.Hii nchi bado kuna tatizo kubwa la kufikiri.
 
Anafikiri siku Moja atakuwa rais wa nchi hii.
Ila kwa sababu ccm ni wajinga wanaweza tuletea kichaa kuongoza.
Mungu atatunusuru kama alivyotunusuru 2021
 
Kwanini watu wa Kilimanjaro ndio huwa walalamikaji wa mambo ya Arusha?

Hamjui mkuu wenu wa mkoa ni Nurdin babu?
 
Back
Top Bottom