KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,952
- 9,469
Kutokana na Press ya Makonda kuna vitu kavigusia na sasa nimemuelewa!,Kumbe watengeneza Jersy hawakutaka kusubiri kwa maana walishatengeneza jersy kindi kirefu kabla ya vikao na serikali maana yake wamekurupuka,Pia mahudhui yanatakiwa kuwekwa!Pia mkataba ni wakimagumashi auonyeshi ni mkataba wa mdhamini au supplier Makonda kawashika pabaya!