Makonda: Naweza kuwa Mwenezi yeyote yule mnyeyekevu au mcheza rafu na mkorofi

Makonda: Naweza kuwa Mwenezi yeyote yule mnyeyekevu au mcheza rafu na mkorofi

Mwenye cheo chake kaingia. Sasa itakuwa ni kujadili kauli zake tu. CCM ilimuhitaji sana mtu wa aina hii.
 
Kibaha Sec alisoma form ngapi huyo Mbowe?

Kiboko ni elimu ya aliyemteua Makonda. Only God knows.
Alisoma form one hadi four, Kisha akaenda Ihungo kwa form five hadi six. Lakini ajabu, mwaka aliomaliza form six pale Ihungo jina lake kwenye watahiniwa HALIPO! Ahahahahaha!!!!
 
Katika upokezi wake wa Ukatibu Mwenezi Makonda amesema ataenda kwa Chongolo, Dr Mwinyi na pamoja na viongozi wa bunge la Tanzania kuomba mawazo yao wamwambie wanataka Mwenezi wa namna gani.

Akisema yeye anaweza kuwa mwenezi wa aina yoyote yule wanayemtaka, mnyenyekevu au mkorofi.

Takataka ya Samia, uteuzi huu umenifanya nimuone aliyemteua ni hopeless
 
Back
Top Bottom