Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Kabla ya masaa 48 jamaa amesha toa matamko yenye utata zaidi ya 10...😜😂😂 kazi ipo.😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya masaa 48 jamaa amesha toa matamko yenye utata zaidi ya 10...😜😂😂 kazi ipo.😂
huyu jamaa mwamba sana dah 😀Katika upokezi wake wa Ukatibu Mwenezi Makonda amesema ataenda kwa Chongolo, Dr Mwinyi na pamoja na viongozi wa bunge la Tanzania kuomba mawazo yao wamwambie wanataka Mwenezi wa namna gani.
Akisema yeye anaweza kuwa mwenezi wa aina yoyote yule wanayemtaka, mnyenyekevu au mkorofi.
Akicheza rough atajikwaa kisiki chake kiko Kawe na Ubungo TanescoAkisema yeye anaweza kuwa mwenezi wa aina yoyote yule wanayemtaka, mnyenyekevu au mkorofi.
Katika upokezi wake wa Ukatibu Mwenezi Makonda amesema ataenda kwa Chongolo, Dr Mwinyi na pamoja na viongozi wa bunge la Tanzania kuomba mawazo yao wamwambie wanataka Mwenezi wa namna gani.
Akisema yeye anaweza kuwa mwenezi wa aina yoyote yule wanayemtaka, mnyenyekevu au mkorofi.
Hata Makonda atakufa
Ila acha awanyooshe kidogo
ukiwa mtendaji mzri ukakutana na watendaji wabovu obviously na wewe unaweza kuwa mfano haswa, wakiwa juu Yako, kwa kuwa huwezi kufanya maamzi unayo yataka Kwa uhuru ila mpka upate maelekezo kutoka kwa aliye juu Yako..Katika upokezi wake wa Ukatibu Mwenezi Makonda amesema ataenda kwa Chongolo, Dr Mwinyi na pamoja na viongozi wa bunge la Tanzania kuomba mawazo yao wamwambie wanataka Mwenezi wa namna gani.
Akisema yeye anaweza kuwa mwenezi wa aina yoyote yule wanayemtaka, mnyenyekevu au mkorofi.
Mwenezi ameanza na mkwaraKatoa onyo kwa mawaziri wote pamoja na wakuu wa mikoa pia.
Usisahau na Mbowe yupo kundi Hilo Hilo na anamuongoza Lissu na ujanja wake wote! Ahahahahaha!!!What else do you expect from form four failure?
Usisahau na Mbowe yupo kundi Hilo Hilo na anamuongoza Lissu na ujanja wake wote! Ahahahahaha!!!
Ile wew ni kichaa kabisa nishagunduaKuna mtu alitamba yeye ni jiwe kweli kweli leo hii amebaki skeleton tu 6' ardhini
Ngoma duroo!..Na Maza alipata zero form 4 lakini anamuongoza Mipango mwenye PhD.🤣
MC wa chama chakavu amnyooshe nani huyo bwege tu.Hata Makonda atakufa
Ila acha awanyooshe kidogo