Makonda: Naweza kuwa Mwenezi yeyote yule mnyeyekevu au mcheza rafu na mkorofi

Makonda: Naweza kuwa Mwenezi yeyote yule mnyeyekevu au mcheza rafu na mkorofi

Tayari ameshaanza kuonyesha ujambawazi wake!!

Teuzi hii moja ya teuzi ya hovyo kabisaa!!

Mchengerwa na Makonda wataenda kumwaga damu nyingi sana 2024/205.

Wanaenda kwenda kupaka damu mavazi ya Mama yao!!
 
Katika upokezi wake wa Ukatibu Mwenezi Makonda amesema ataenda kwa Chongolo, Dr Mwinyi na pamoja na viongozi wa bunge la Tanzania kuomba mawazo yao wamwambie wanataka Mwenezi wa namna gani.

Akisema yeye anaweza kuwa mwenezi wa aina yoyote yule wanayemtaka, mnyenyekevu au mkorofi.
huyu jamaa mwamba sana dah 😀
 
Aanze tena kuzulumu Nyumba na Magari ya Wananchi wa Tanzania.
 
Jambazi limerudi tena, awe mkorofi, awe mnyenyekevu, it means nothing to majority wananchi, what we know, ni jizi, jinga,kilaza, political thief kama wengine kuanzia kwa ikulu,
Hana cha pekee, ni mjinga mwingine kaja, maana ma CCM tumeyazoea hayana jipya,kwao siasa zinanunua u tajiri, u tajiri unanunua siasa, fucking vicious cycle!
CCM ni wezi hawapo kukuza, hii nchi, wapo kutumia siasa kujitajirisha wao, na kufanya maisha ya majority wawe maskini, ili waaendelee kuwatawala!
Mwananchi mnyime elimu, afya,hapo utamtawala vzr,
 
Katika upokezi wake wa Ukatibu Mwenezi Makonda amesema ataenda kwa Chongolo, Dr Mwinyi na pamoja na viongozi wa bunge la Tanzania kuomba mawazo yao wamwambie wanataka Mwenezi wa namna gani.

Akisema yeye anaweza kuwa mwenezi wa aina yoyote yule wanayemtaka, mnyenyekevu au mkorofi.

Awe msemaji mkorofi tuone. Very stupid
 
Katika upokezi wake wa Ukatibu Mwenezi Makonda amesema ataenda kwa Chongolo, Dr Mwinyi na pamoja na viongozi wa bunge la Tanzania kuomba mawazo yao wamwambie wanataka Mwenezi wa namna gani.

Akisema yeye anaweza kuwa mwenezi wa aina yoyote yule wanayemtaka, mnyenyekevu au mkorofi.
ukiwa mtendaji mzri ukakutana na watendaji wabovu obviously na wewe unaweza kuwa mfano haswa, wakiwa juu Yako, kwa kuwa huwezi kufanya maamzi unayo yataka Kwa uhuru ila mpka upate maelekezo kutoka kwa aliye juu Yako..

unakumbuka wakati JPM ni waziri WA ardhi? na ubomowaji WA road reserve? au mmesahau aliwahi kulipotiwa alitaka kujihudhuru? maana hata yy mwenyewe alisema kwenye Moja ya hotuba zake kuwa mlinizuia lakin Sasa hakuna wa kumzuia mwisho wa kunukuu..

makonda kwangu ni kiongozi mzr kabisa na yy amezaliwa kuwa kiongozi tatzo hapo alipo atakuwa na mamlaka ya ku implement kile kilicho halisia? Kwa macho ya kisiasa hataweza maana atakivulugha chama ila Kwa macho ya utendaji ataweza maana atakiimalisha chama na akumbuke kunaghalama zake pia...

B
 
Mbona kumekucha mapema Sana kwa wendawazimu 🤔🤔
 
Kumekuchaaa sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
..huyu hajajifunza bado.

..anadai kukaa benching kumumfundisha kumjua MUNGU.

..ghafla anageuka anasema anaweza kuwa Mwenezi mcheza RAFU!!
 
Back
Top Bottom