Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,018
- 2,366
Huyo mtu akiwa kwenye madaraka vitendo vya utekaji vinaongezeka sana.Hivyo ndivyo Makonda alivyo..
Hana huo uzalendo wa hivyo.
Ni jambazi anayeweza kukujia usiku akakutoboa macho na akakuletea miwani mbele ya waandishi wa habari..
Kwa ufupi tu Makonda ni katili kuliko ukatili wenyewe..
Rais Samia ndiyo watu anaopenda kufanya nao kazi maana na yeye ni katili kuliko hata lucifer .Makonda ni jambazi.
Makonda ni gaidi.
Hafai kua kiongozi.
Wewe endelea kububujikwa na machozi tu ndio unachowezaWivu na chuki binafsi ndio vinakusumbua. Najua hata wewe moyoni mwako unakubali Kuwa Mwamba Mwenyewe Paul Makonda ni jembe kwelikweli na Hazina kwa Taifa letu.
Acheni roho za koroshoWewe endelea kububujikwa na machozi tu ndio unachoweza
Wewe ulitakiwa uvunjwe miguu na kupindishwa mdomo wako huo mchafu kama Jalala.Rais Samia ndiyo watu anaopenda kufanya nao kazi maana na yeye ni katili kuliko hata lucifer .
Hili ni jambawaziHivyo ndivyo Makonda alivyo..
Hana huo uzalendo wa hivyo.
Ni jambazi anayeweza kukujia usiku akakutoboa macho na akakuletea miwani mbele ya waandishi wa habari..
Kwa ufupi tu Makonda ni katili kuliko ukatili wenyewe..
Maavi matupu. Apewe aone atakavyochemsha. Vijana wa sasa waliochoka na kukata tamaa hawaangalii sura ya mtu wala chawa isipokuwa maslahi yao.Huyu ana wizara yake, mambo ya ndani inamsubiri.
Daaaah
πππππMaavi matupu. Apewe aone atakavyochemsha. Vijana wa sasa waliochoka na kukata tamaa hawaangalii sura ya mtu wala chawa isipokuwa maslahi yao.
Bashite akiwa waziri wa Polisiccm lazima kujengwe magerezaccm mapya kwani magereza yatajaa watu wa kesi za kubambikiwaHalafu awe Waziri wa Mambo ya Ndani daa