minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,510
- 22,529
Ana wizara zake anaziwinda zaidi hususani wizara ya utalii, mambo ya ndani na pia wizara ya Nishati kote analenga kupiga Dili kwani yeye hana huruma na mtu mda wote anawaza Tumbo lakeBashite...
Ana wizara zake anaziwinda zaidi hususani wizara ya utalii, mambo ya ndani na pia wizara ya Nishati kote analenga kupiga Dili kwani yeye hana huruma na mtu mda wote anawaza Tumbo lakeBashite...
ili awe anawabambikia kesi chadema kila sikuHuyu ana wizara yake, mambo ya ndani inamsubiri.
Daaaah
Ni majangaBashite akiwa waziri wa Polisiccm lazima kujengwe magerezaccm mapya kwani magereza yatajaa watu wa kesi za kubambikiwa
Kama wanataka wazir awe maarufu kuliko rais basi wajichanganye wampe huyo makondaAcheni.kumharibia!!
Kama kakusudiwa kuwa pm.atakua TU!
CCM inaweza kumtumia ku spin hali ilivyo Kwa sasa Kwa zile ziara zake zile za kiutendaji!media attention zote Kwa pm makonda!hiyo kazi anaiweza sana!
Tushakuzoea we mlamba makalio ya watawala!Wivu na chuki binafsi ndio vinakusumbua. Najua hata wewe moyoni mwako unakubali Kuwa Mwamba Mwenyewe Paul Makonda ni jembe kwelikweli na Hazina kwa Taifa letu.
Hiyo ndio kazi yake kuu na ana imudu.ili awe anawabambikia kesi chadema kila siku