britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
“Ni Kweli nilipewa Sumu miezi kadhaa ilopita na ni jaribio la Tatu, mbili zilizotangulia ilikuwa nimwagiwe tindikali kabisa ila wakubwa wastaafu wakanipa taarifa mapema” Makonda akijibu swali la Zembwela baada ya kuulizwa uvumi wa kuwa hakuwa likizo ya kawaida bali ilikuwa matibabu…
“Pia watu wanataka kunimaliza kisiasa kwa kuwa wanalipwa kufanya hivyo mitandaoni”
Alisema
www.jamiiforums.com
“Pia watu wanataka kunimaliza kisiasa kwa kuwa wanalipwa kufanya hivyo mitandaoni”
Alisema
Tetesi: - Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi? Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu. Britanicca.