Makonda: Ni kweli likizo yangu ilikuwa kwa sababu nilipewa sumu

Makonda: Ni kweli likizo yangu ilikuwa kwa sababu nilipewa sumu

“Ni Kweli nilipewa Sumu miezi kadhaa ilopita na ni jaribio la Tatu, mbili zilizotangulia ilikuwa nimwagiwe tindikali kabisa ila wakubwa wastaafu wakanipa taarifa mapema” Makonda akijibu swali la Zembwela baada ya kuulizwa uvumi wa kuwa hakuwa likizo ya kawaida bali ilikuwa matibabu…

“Pia watu wanataka kunimaliza kisiasa kwa kuwa wanalipwa kufanya hivyo mitandaoni”

Alisema
View attachment 3155423

Kicki
 
Umekua mjinga sasa hivi. Hakuna sehemu makonda amesema hiko ambacho umeandika
Hakuna aliposema alipewa sumu. Kila kitu kilikua live na pia zipo clip za hiyo event yote. Acha kuchota watu akili sababu tu pengine hawakufatilia
 
Kumbe uvumi ulikuwa kweli?
Amshukuru Mungu sana, maana hata Kikwete yuko on record akisema, usiache glasi yako ya maji mezani unapokwenda maliwatoni.
Muongo huyo hakuna sehemu makonda kasema alipewa sumu. Aliulizwa Hilo swali akasema alienda likizo akawa kimya kwa sababu mbalimbali
 
Back
Top Bottom