DAGAA WA MWANZA
Senior Member
- Jan 27, 2019
- 169
- 465
Nchi hii ipo siku viongozi wa dini nyie wasaka sadaka mtakuja kujuta, hivi kweli mmeshindwa kumkemea huyu kijana kwa tabia zake za kudhalilisha utu wa watu wengine na kumuacha tu atukane?
Hebu fikirieni angekuwa ni mpinzani ndio kayatamka hayo kwa mh. Magufuli si angekuwa anatafutwa na magari yaliyojaa maaskari? kwanini kwa Makonda kunakuwa na double standard?!!!
SIMON SIRRO Mungu anakutazama tu endelea kutumika, Jaji mkuu endeleeni tu ila kama kweli MUNGU yupo, kama kweli huyu MUNGU yupo mtalipwa kama ilivyostahiki yenu.
Hii ni kutweza utu wa watu wengine ati kisa hawana nguvu ya kuwafanya. Sisi acha tusema kwa kupitia jukwaa hili hakika Mungu atasikia na kumpa maisha marefu Maxence Melo maisha marefu kwa kuanzisha jukwaa ili nasi tuweze kutoa ya moyoni mwetu uende tungekuwa tushafanya mambo mabaya ila kusema kwetu kupitia hapa nafsi zetu zinatuli.
Viongozi kama hawa kuna wakati wananifanya kutokuamini wakati mwingine uwepo wa MUNGU why anachelewa kuwakumbusha kutenda wema kwa kumpenda jirani yako kama unavyojipenda