Na waliosema kwamba mkuu wa nchi kaaga dunia ndio wenye akili ? Acheni chuki za kitoto.Makonda ni jembe. Huyo ndio anafaa kuwaongoza raia wa Dar es Salaam.Hata kama Mbowe ni mwanasiasa, taarifa za ugonjwa wa mtoto wake hazikustahili kutoka hadharani. Yeye akiridhia zitolewe.
Wewe ndio una akili ?Honestly mimi simshangai huyo ni mwendawazimu .
mwamuzi wa yote hayo ni Mungu tu, kauli na wish za binadamu ni sawa na dua la kuku halimpati mweweKwamba makonda nae kapewa? Huyo atakunya tu kesho tena ktk watu wenye bahati mbaya hapa duniani na huyo yupo time will tell labda afake kifo baada ya hii awamu kutoka na bado haitamsaidia
Wewe una akili za kuvukia barabara na kumuabudu Bashite. Mimi nina akili ndio.
Huyo jembe wenzake mpini wanapenya kwenye tobo la jembe. Kuna mtu atasema mkuu wa nchi kaaga dunia mumuache uraiani mpaka sasa? Labda kama kesi zenu uchwara za uchochezi zimeisha.Na waliosema kwamba mkuu wa nchi kaaga dunia ndio wenye akili ? Acheni chuki za kitoto.Makonda ni jembe. Huyo ndio anafaa kuwaongoza raia wa Dar es Salaam.
Sent using Jamii Forums mobile app