Tupe majina ya wakuu wa mikoa waliotangaza majina ya watu wenye korona kwenye mikoa yao.
EndeleaNi kweli wanaakili za kikorona korona mkuu!
Ila kila analotamka linamake headlines JF. Pascal Mayalla kaandika makala ndeeeeeefu kama hukumu ya uhaini kumhusu Makonda. Kwa hayo yote, unafikri Makonda yuko kama unavyomfikiria au is one of the biggest think tank who is envied by everyone?Alafu lazima tukubaliane ,Paul Makonda hana Sifa wala Uwezo wa kuitwa Kiongozi.
Ni mmoja ya watu wanaoneemeka na nyakati tu , ndio maana maamuzi yake Mengi ni ya Kukurupuka (ingawa yapo baadhi yanayoelewekal
IQ ya Paul Makonda, IPO chini sana yaan ana uwezo hafifu mnoo na msishangae kwann nimtu wa Visasi.
Hapo ndipo timu yangu ya simba iliponikwazaMshauri mkuu wa Simba anazingua sana.
Dah hatariMkongwe kwa hizi siasa za kihanithi, sidhani kama utatoboa.
Kwamba Makonda nae kapewa? Huyo atakunya tu kesho tena ktk watu wenye bahati mbaya hapa duniani na huyo yupo time will tell labda afake kifo baada ya hii awamu kutoka na bado haitamsaidiaCarlos The Jackal,
Alopewa kapewa, hamjaanza leo kusema na bado mnaendelea lakini, itabaki kama ilivyo no one can change that, its called FATE
Bado kidogo ngoja wajichanganye kwenye uchaguzi ujao kwa figisu za kishamba (na ndilo litakalotokea) au wang'ang'anie madaraka 2025 ndio utajua how tanzanians areAisee umeongea kweli tupu! Wanatupeleka huko mkuu muda uongea
Makonda failure wa kila jambo ndio think tank wa CCM na serikali, shame! Huyo muuaji ni sawa na nzi wa chooni!Ila kila analotamka linamake headlines JF. Pascal Mayalla kaandika makala ndeeeeeefu kama hukumu ya uhaini kumhusu Makonda. Kwa hayo yote, unafikri Makonda yuko kama unavyomfikiria au is one of the biggest think tank who is envied by everyone?
Wameona wasimwachie Polepole msalaba peke yake, wamejipanga kushambulia upinzani kwa maneno haya ili kupooza ule uharo wa Polepole alivowatusi wapinzani kwamba wao ni sawa na coronaHii ni kutweza utu wa watu wengine ati kisa hawana nguvu ya kuwafanya
Bahati hakiweka hoja yoyote. Nashindwa nikujibuje. Ila ujue tu hata US Secretary of the State knows Makonda.Makonda failure wa kila jambo ndio think tank wa CCM na serikali,shame!Huyo muuaji ni sawa na nzi wa chooni!
Muuaji lazima ajulikane!Bahati hakiweka hoja yoyote. Nashindwa nikujibuje. Ila ujue tu hata US Secretary of the State knows Makonda.
Nani alimuua nani? Can you be specific?Muuaji lazima ajulikane!