Makonda ni mpuuzi kama wapuuzi wengine tu na hatupaswi kumpuuza kwa upuuzi wake hata kama anatumwa

Makonda ni mpuuzi kama wapuuzi wengine tu na hatupaswi kumpuuza kwa upuuzi wake hata kama anatumwa

Huyu ni mpuzi sana hizo nchi ambazo watu wanakufa hawasali?sisi ndio tunamjua mungu kuliko wao
 
Pamoja na upoyoyo wa Bashite, tuna shida kubwa ya kutenganisha ukada wa vyama, na uongozi wa Serikali, na imani ya kidini dhidi ya uongozi wa Serikali.. Imefikia mahali Mkaidi anazungumzia magonjwa, kama vile Mchungaji au Sheikh anavyozungumzia ugonjwa huo.

Viongozi wa kidini mitizamo yao inaongozwa na vitabu vyao vya dini, lakini viongozi wa Serikali wanatakiwa kuongozwa na Katiba ya Nchi na Sheria zake.. Ikifika pale ambapo kiongozi wa a secular state, anaanza kuongea na kuamini kama Mchungaji au Sheikh, basi shida kubwa inatokea..

Kama hawa Viongozi wa Serikali wanaamini Mungu anatulinda, basi wanapaswa kufahamu ulinzi wa Mungu hauji moja kwa moja.. Kitendo cha kugundua huu ni ugonjwa, unaleta shida gani, unajikingaje, na unatibikaje maana yake Mungu ameshatoa msaada wake hapoo.. Waache kuwapotosha Wananchi wa kawaida ambao wengi ni dependant, linapokuja suala la kufikiri na kutoa maamuzi..
 
sosoliso,
Nimefurahi sana nilipoona press ya Rais wa Afrika kusina na Malema, huyu bashite akanitibua na hayo maneno yake watu wanaungana kama taifa nyie mnazidisha migawanyiko ati kisa tu yupo CHADEMA na chadema inapendwa sana na wananchi njia ni kuwatukana kweli?
 
Viongozi kama hawa kuna wakati wananifanya kutokuamini wakati mwingine uwepo wa MUNGU why anachelewa kuwakumbusha kutenda wema kwa kumpenda jirani yako kama unavyojipenda
 
Kumudhihaki Mungu ni pamoja na kutumia jina lake kuwadhihaki wengine, Makonda hana tofauti na mafalisayo walioandikwa kwenye biblia na mtoza ushuru ambapo mmoja wao alimwaga sala ya kufa mtu mbele za Mungu akijinadi jinsi alivyomtakatifu na kumnanga mwenzake kuwa ni mtu mwovu asiyesitahili kusogea hata mbele za Mungu, mwisho wake mtu mwovu ndiye aliyeonekana kuwa ni mtu mwema mbele za Mungu na kupata thawabu.
 
Back
Top Bottom