Duuh yaani Mungu ni wa ajabu wakati mwingine simuelewi, kwa nini haji kunyakua viumbe wake wa aina hii?Mwingine juzi kasema hao watu ni sawa na KORONA.. yaani hadi inachosha
ndio napata picha kwa nn watu wanaamua kuingia msituni.Na juzi Rais alisema wenye mamlaka ya kutoa taarifa ya wagonjwa wa Corona lakini sijasikia Makonda au mkuu wa mkoa, na hapa serikali itakaa kimya lakini itokee Atangaze Mdee, au wewe uone moto wanaokuwashia! Nasisi sasa tutaabza kuwawashia moto
Kwa huo uelewa wako kuna siku utakuja kusemaLow = chini
(eye) brow = nyusi
Sasa sielewi ulimaanisha nini hapo? Kwani ni lazima uandike kwa lugha usiyoijuwa vizuri? Mtakuja kutukana bila kukusudia.
Mkuu kuna wakati unajiuliza kwanini Mungu hatendi kwa wakati!!Duuh yaani Mungu ni wa ajabu wakati mwingine simuelewi, kwa nini haji kunyakua viumbe wake wa aina hii?
Makonda ni Mpuuzi sanakwa nini tusiamini kuwa huyu ndio anayeuwa watu
Ukweli gani? Na huo ukweli unasemwa na Serikali tu? Wakisema wengine wanapelekwa mahakamani kuwa ni uongo na kumchafua magufuli na serikali, wewe ni mpuuzi kama Alivyompuuzi mwenzio Makonda
Mwalimu angekuwa hai huu ujinga usingejitokeza!!! Nchi hii siku hizi hata RCs nao wanasharubu; wanatoa matamko, wanakwenda kuzungumza na mabalozi kana kwamba hakuna utaratibu wa kutoa miongozo ya jinsi ya kuwasiliana na balozi za nje? Makonda has compromised all those who are supposed to be his seniors!! Je, Makonda ana ubia na Urais wa Magufuli?Masikini mama Tanganyika yangu!
Kuna mamboMwalimu angekuwa hai huu ujinga usingejitokeza!!! Nchi hii siku hizi hata RCs nao wanasharubu; wanatoa matamko, wanakwenda kuzungumza na mabalozi kana kwamba hakuna utaratibu wa kutoa miongozo ya jinsi ya kuwasiliana na balozi za nje? Makonda has compromised all those who are supposed to be his seniors!! Je, Makonda ana ubia na Urais wa Magufuli?
Kwa Kiingereza mtu kama Bashite ni 'megalomaniac'!Mungu ni mkubwa na kesha anza kutenda juu ya Makonda mara baada ya wa marekani kumpiga marufuku kukanyaga kwenye nchi yao.
Marekani siyo wajinga wakikuonyesha kidole ujue kuna ukweli