Makonda ni mpuuzi kama wapuuzi wengine tu na hatupaswi kumpuuza kwa upuuzi wake hata kama anatumwa

Makonda ni mpuuzi kama wapuuzi wengine tu na hatupaswi kumpuuza kwa upuuzi wake hata kama anatumwa

Nchi hii ipo siku viongozi wa dini nyie wasaka sadaka mtakuja kujuta, hivi kweli mmeshindwa kumkemea huyu kijana kwa tabia zake za kudhalilisha utu wa watu wengine na kumuacha tu atukane?

Hebu fikirieni angekuwa ni mpinzani ndio kayatamka hayo kwa mh. Magufuli si angekuwa anatafutwa na magari yaliyojaa maaskari? kwanini kwa Makonda kunakuwa na double standard?!!!

SIMON SIRRO Mungu anakutazama tu endelea kutumika, Jaji mkuu endeleeni tu ila kama kweli MUNGU yupo, kama kweli huyu MUNGU yupo mtalipwa kama ilivyostahiki yenu.




Hii ni kutweza utu wa watu wengine ati kisa hawana nguvu ya kuwafanya. Sisi acha tusema kwa kupitia jukwaa hili hakika Mungu atasikia na kumpa maisha marefu Maxence Melo maisha marefu kwa kuanzisha jukwaa ili nasi tuweze kutoa ya moyoni mwetu uende tungekuwa tushafanya mambo mabaya ila kusema kwetu kupitia hapa nafsi zetu zinatuli.

Viongozi kama hawa kuna wakati wananifanya kutokuamini wakati mwingine uwepo wa MUNGU why anachelewa kuwakumbusha kutenda wema kwa kumpenda jirani yako kama unavyojipenda
Mkuu kwa mtasari,nipo mbali kidogo naomba kujuzwa alicho sema zero
 
IMG-20141102-WA0010.jpg
 
Huyo watu tulisha msahau, amesahau hapo ubungo wakati yupo kwenye udc aliwahi kupigwa na madereva wa mabasi hadi akakimbilia miguuni mwa afande kujificha
ILE SHERIA YA KITABIBU KWAMBA UGONJWA NI SIRI YA MGONJWA NA DAKTARI WAKE INAKAAJE? NA KWAMBA SI HAKI KUTANGAZA HADHARANI UGONJWA WA MTU. JE, AMEAMUA KUMDHALILISHA MGONJWA? HIVI HATA KWENYE UGONJWA TUNAWATIBU WATU KWA KUANGALIA ITIKADI? HAWA VIONGOZI WA AWAMU YA 5 VIPI?

In God we Trust
 
Tuwaulize labda tutapata jibu
Mwalimu angekuwa hai huu ujinga usingejitokeza!!! Nchi hii siku hizi hata RCs nao wanasharubu; wanatoa matamko, wanakwenda kuzungumza na mabalozi kana kwamba hakuna utaratibu wa kutoa miongozo ya jinsi ya kuwasiliana na balozi za nje? Makonda has compromised all those who are supposed to be his seniors!! Je, Makonda ana ubia na Urais wa Magufuli?

In God we Trust
 
Wanadarisalama wanataka maendeleo,ufumbuzi wa matatizo yao na sio siasa zako za Makonda kufilisika na siasa uchwara zako.. 😳😳😳😳.ningekua Magufuli ningeshakutumbua..badala ya kuwa objective kwenye ugonjwa wa Corona,umebaki kuimba kwaya za wapinzani..na kulaumu upuuzi...clip nzima ni mtoto wa Mbowe., MUNGU unayemuabudu sio Mungu hai,Mungu wetu hatumi kudhalilisha watu
 
Uhuru wa kutoa Maoni hautakiwi kuvuka Mipaka (Sheria) .Alicho kifanya Mkuu wako wa Mkoa sio sahihi Kisheria na Kibinadamu.Pia Ujinga sio Tusi ni Sifa ,hata wewe ukifanya mambo yenye Sifa ya Upumbavu tutakuita Mpumbavu na sii vinginevyo.
Ina maana wewe ni mjinga na mpumbavu? Anyway endelea kuwa msukule it's your choice madam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tumpuuze Makonda kabisa kabisa!
Ukitaka kujua huyu kijana anastahili anapaswa kupuuzwa kabisa (hasa kwa kuwa alichoahidi Katibu Mkuu kumrudisha shuleni akasome kutotendewa kazi). Kwa nini apuuzwe?
1. Hajui majukumu yake kama mkuu wa mkoa, ndio maana kila wakati anakurupuka na kufanya yasiyomuhusu kabisa kabisa. Kimsingi anahitaji kuupuzwa sana kwa sababu hajawahi kutenda wala kutamka lolote la busara wala la maana.

2. Amekuwa mtovu wa nidhamu, hatii hata mamlaka iliyomteua. Siku zote anavunja sheria (kinachomsaidia ni kutochukuliwa hatua kwa "sababu wanazojua wanaomkingia kifua'). Mfano mzuri ni wakati huu wa suala la Corona. Wakati mikusanyiko inauziwa, Makonda amekazana kukusanya watu, akifanya ziara zisizo na tija. Hii inaonesha aslan hajui majukumu yake.

3. Yeye sio msemaji rasmi wa serikali linapokuja suala hili. Tayari Mh. Rais ametoa maelekezo nani ambaye ni kiongozi na watakuwa wasemaji wa suala hili; Mh. Waziri Mkuu na waziri wa afya. Tumewaona wakuu wengine wa mikoa (akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Arusha) wakitimiza wajibu wao wa kusimamia utekelezaji wa maagizo ya wataalam na serikali kwa namna njema kabisa inayoonesha ukomavu wa akili na utendaji wa kiongozi anayejitambua na kufahamu majukumu yake. Mikusanyiko ambayo Makonda ameendelea kufanya inawaweka watu katika hatari kubwa ya kuambukizwa. Siku zote kijana huyu atakiu kubwa ya kuuza sura katika vyombo vya habari, hivyo ameona marufuku hii ya kutokutana inamnyima fursa kaanzisha ziara zake.

4. Hajua anachozungumza, hivyo apuuzwe tu na kusamehewa bure. Mkutano wa Mh. Mbowe na waandishi wa habari ulikuwa asubuhi kabla ya mkutano wa Mh. Waziri wa afya uliotangaza uwepo wa kesi ya kwanza kabisa ya mwathirika wa Corona. Kwa kudhani watanzania sio waelewa na wenye kusahau kama alivyo anazungumza alichuzungumza,

5. Hamjui Mungu anayeigiza siku zote kumtaja. Mungu mwenye enzi yote, aliyeumba mbingu na nchi ambaye hata Mh. Rais alisisitiza watanzania kuelekeza dua na sala zetu kwake ili atuponye na shida hii, anasisitiza "Kaeni kwa amani na watu wote"(EBRANIA.12:14; RUMI 12:18)". Makonda amejifunua siku zote kuwa ni mtu wa kutafuta migogoro na ugomvi na watu. Hii itoshe kuwa sababu ya kumsamehe na kumpuuza maana anatenda kwa sababu yamkini anaye mungu wake mwingine . mungu wa magomvi hata katikati ya msiba.

Kumpuuza na kumsaheme ndio njia bora zaidi ya kumsaidia.


Nchi hii ipo siku viongozi wa dini nyie wasaka sadaka mtakuja kujuta, hivi kweli mmeshindwa kumkemea huyu kijana kwa tabia zake za kudhalilisha utu wa watu wengine na kumuacha tu atukane?

Hebu fikirieni angekuwa ni mpinzani ndio kayatamka hayo kwa mh. Magufuli si angekuwa anatafutwa na magari yaliyojaa maaskari? kwanini kwa Makonda kunakuwa na double standard?!!!

SIMON SIRRO Mungu anakutazama tu endelea kutumika, Jaji mkuu endeleeni tu ila kama kweli MUNGU yupo, kama kweli huyu MUNGU yupo mtalipwa kama ilivyostahiki yenu.




Hii ni kutweza utu wa watu wengine ati kisa hawana nguvu ya kuwafanya. Sisi acha tusema kwa kupitia jukwaa hili hakika Mungu atasikia na kumpa maisha marefu Maxence Melo maisha marefu kwa kuanzisha jukwaa ili nasi tuweze kutoa ya moyoni mwetu uende tungekuwa tushafanya mambo mabaya ila kusema kwetu kupitia hapa nafsi zetu zinatuli.

Viongozi kama hawa kuna wakati wananifanya kutokuamini wakati mwingine uwepo wa MUNGU why anachelewa kuwakumbusha kutenda wema kwa kumpenda jirani yako kama unavyojipenda

asta
 
Hata kama Mbowe ni mwanasiasa, taarifa za ugonjwa wa mtoto wake hazikustahili kutoka hadharani. Yeye akiridhia zitolewe.

Sio tu suala la kutamka hadharani taarifa za mgonjwa; bali namna alivyomtaka! Katikati ya kashfa na dharau yake kwa Mh. Mbowe anapoingiza suala la ugonjwa wa mwanae ni sawa na kusema amefurahi mtoto huyo kuugua. Anyway; apuuzwe tu kwa upuuzi wake!
 
Duuh yaani Mungu ni wa ajabu wakati mwingine simuelewi, kwa nini haji kunyakua viumbe wake wa aina hii?
Kumchukua mbali, yaani angewaacha kwenye misoto yao ya kabla hawajawa na nafasi hizo.. Maana shida wanazowasababishia wenzao ni kubwa sana
 
Nchi hii ipo siku viongozi wa dini nyie wasaka sadaka mtakuja kujuta, hivi kweli mmeshindwa kumkemea huyu kijana kwa tabia zake za kudhalilisha utu wa watu wengine na kumuacha tu atukane?

Hebu fikirieni angekuwa ni mpinzani ndio kayatamka hayo kwa mh. Magufuli si angekuwa anatafutwa na magari yaliyojaa maaskari? kwanini kwa Makonda kunakuwa na double standard?!!!

SIMON SIRRO Mungu anakutazama tu endelea kutumika, Jaji mkuu endeleeni tu ila kama kweli MUNGU yupo, kama kweli huyu MUNGU yupo mtalipwa kama ilivyostahiki yenu.




Hii ni kutweza utu wa watu wengine ati kisa hawana nguvu ya kuwafanya. Sisi acha tusema kwa kupitia jukwaa hili hakika Mungu atasikia na kumpa maisha marefu Maxence Melo maisha marefu kwa kuanzisha jukwaa ili nasi tuweze kutoa ya moyoni mwetu uende tungekuwa tushafanya mambo mabaya ila kusema kwetu kupitia hapa nafsi zetu zinatuli.

Viongozi kama hawa kuna wakati wananifanya kutokuamini wakati mwingine uwepo wa MUNGU why anachelewa kuwakumbusha kutenda wema kwa kumpenda jirani yako kama unavyojipenda


Anawabeep mabeberu wataingiza waathirika wa Corona hadi tutajikuta tunaomba poo, kuna mambo kama hayo huwezi ukaropoka tu ili hali unajua siasa ya dunia
 
Back
Top Bottom