Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Watu wa Arusha na Moshi ni tofauti na hao mbulumbu wa Dar. Wale jamaa wa huko hawajui unafiki nakwambia Makonda utaona ataishia kwa staili gani.Mkoa wa Dar mpaka kesho wanammiss Paul Makonda! Baada ya kuondoka kuwa mkuu wa mkoa wa Dar, Dar imepwaya sana! Kapelekwa Uenezi CCM kawajambisha mpaka wakaomba poooo! Sasa wamempeleka mkoa sugu wa biashara ya Ushoga, madawa ya kulevya, wizi wa mipakani, ulevi, watu wenye midomo mirefu (kama ...bless Lema), n.k. atawanyoosha!
Simkubali ila ana nguvu kubwa ya ushawishi, kama ni mganga anaee
Na Godbless na kidomodomo chake sasa, mi ntapenda😀😀😀😆na watanyooka
Nikisema unalia dua la kuku, ntakuwa nimepiga ramri chonganishi?Kuna watu wanampotosha rais, na anawasikiliza. Makonda kapelekwa kudhibiti Chadema huko kaskazini. Lakini atashindwa na atafukuzwa u RC.
Labda km amenyoosha hiyo akili yako iliyopinda. Kimsingi Makonda ana akili ndogo sana hakuna analoweza ku-accomplish hasa ktk hizi zama za kistaarabuMkoa wa Dar mpaka kesho wanammiss Paul Makonda! Baada ya kuondoka kuwa mkuu wa mkoa wa Dar, Dar imepwaya sana!
Kapelekwa Uenezi CCM kawajambisha mpaka wakaomba poooo! Sasa wamempeleka mkoa sugu wa biashara ya Ushoga, madawa ya kulevya, wizi wa mipakani, ulevi, watu wenye midomo mirefu (kama ...bless Lema), n.k. atawanyoosha!
anacheza na akili za wajinga kama wewe hapo moja wapoPamoja na mambo yake ya ajabu....Makonda huwa anaamsha amsha flani hivi ya kuchangamsha siku, inatupunguziaga stress sisi walala hoi.
Ile clip anaendesha baiskeli huko kwa wasukuma wenzie nlikua nacheka sana.
Taifa limejaa wajinga sana hilina watanyooka
Makonda ni mjanja mjanja na anacheza na akiki za wajinga, nchi ina wajinga asilimia 90Mnamjaza ujinga makonda. Akitaka afanikiwe aache tabia ya kujimwambafai na awe na adabu kwa wenzake. Hata angekua mzuri vipi lakini kama hana adabu hawezi kufanikiwa .naona bado hajajifunza kipindi chote alichopumzishwa
Umeelewa nlichoandika we kima?anacheza na akili za wajinga kama wewe hapo moja wapo
Mbona kama kanyooshwa yeye safari hiiMkoa wa Dar mpaka kesho wanammiss Paul Makonda! Baada ya kuondoka kuwa mkuu wa mkoa wa Dar, Dar imepwaya sana!
Kapelekwa Uenezi CCM kawajambisha mpaka wakaomba poooo! Sasa wamempeleka mkoa sugu wa biashara ya Ushoga, madawa ya kulevya, wizi wa mipakani, ulevi, watu wenye midomo mirefu (kama ...bless Lema), n.k. atawanyoosha!
Kua rais wa Kaskazini ,mbona pasi nzuri tu hioMbona kama kanyooshwa yeye safari hii