Makonda ni mwamba! Kila anakoenda anapanyoosha mpaka wanaomba pooo!

Makonda ni mwamba! Kila anakoenda anapanyoosha mpaka wanaomba pooo!

Hivi hapo mwamba anakuwa Makonda au maagizo anayopewa na serikali kuyafanya? Tuwe tunafikiria kidogo kuepuka kuonekana watupu kichuani.
 
Biashara ya wizi wa magari itakoma Arusha
 
Nchi ya kijinga. Kwa hivyo Makonda kapewa ukuu wa Mkoa kupambana na Lema?
Siyo Lema tu, Cdm nzma, maana huko ndiko iliko ngome kuu.
Sasa wee endelea kusema nchi ya wajinga, wakati dramma zote hizo zipo wazi kabisa.
 
Back
Top Bottom