Ukishakula nyama za watu hutaacha (J.K.Nyerere)
"Mimi ni Mwenezi ninaebadilika kutokana na mazingira, ningeteuliwa kuwa Mwenezi kipindi cha Magufuli chuma wale jamaa wangenyooka.
"Sasa Kipindi hiki na mimi najaribu kuwa na kauli za mama, Mama mstaarabu, unatamani kupiga panch lakini unasema mhhh, mama sio mapigo yake haya. Sasa kwa upendo huo kwanini tumuonee mama wa watu? Kwanini tuchafue heshima ya Taifa hili?
"Kwanini na sisi ttuwe Taifa la Maandamano kama wenzetu Wakenya mpaka wanakosa watalii?"
Ameyasema hayo Mwenezi Makonda kwenye ziara yake Moshi, Kilimanjaro.