Ukishakula nyama za watu hutaacha (J.K.Nyerere)
"Mimi ni Mwenezi ninaebadilika kutokana na mazingira, ningeteuliwa kuwa Mwenezi kipindi cha Magufuli chuma wale jamaa wangenyooka.
"Sasa Kipindi hiki na mimi najaribu kuwa na kauli za mama, Mama mstaarabu, unatamani kupiga panch lakini unasema mhhh, mama sio mapigo yake haya. Sasa kwa upendo huo kwanini tumuonee mama wa watu? Kwanini tuchafue heshima ya Taifa hili?
"Kwanini na sisi ttuwe Taifa la Maandamano kama wenzetu Wakenya mpaka wanakosa watalii?"
Ameyasema hayo Mwenezi Makonda kwenye ziara yake Moshi, Kilimanjaro.
Ni kweli maana ana backup ya vyombo vya Dola. Nje ya backup ya vyombo vya Dola ni mrembo tu.Makonda anajiamini sana
Ila yeye kwenye hizo ziara zake Kuna maandamano na Bado watalii wanakuja. Au watalii wanaogopa maandamano ya wapinzani tu?Kiukweli makonda ni mtu sahihi katika nafasi hiyo ya uenezi.. ameongea something that sound maana maandamano Yana madhara makubwa sana ikiwemo katk sector ya utalii kama alivyosema lkn pia itavuruga amani ya nchi kwa kias chake hivyo hatuna budi watanzania kuachanà na maandamano na badala yake tukailinda amani ya taifa letu ... Ni jukumu letu sote kuilinda aman haijalishi ni member wa chama gani .. pongezi ziende kwake Makonda ,hakikaaa ingekuwa ni enzi za uncle angewanyoosha💪
Alipaswa kuwa lupango huyu
"Mimi ni Mwenezi ninaebadilika kutokana na mazingira, ningeteuliwa kuwa Mwenezi kipindi cha Magufuli chuma wale jamaa wangenyooka.
"Sasa Kipindi hiki na mimi najaribu kuwa na kauli za mama, Mama mstaarabu, unatamani kupiga panch lakini unasema mhhh, mama sio mapigo yake haya. Sasa kwa upendo huo kwanini tumuonee mama wa watu? Kwanini tuchafue heshima ya Taifa hili?
"Kwanini na sisi ttuwe Taifa la Maandamano kama wenzetu Wakenya mpaka wanakosa watalii?"
Ameyasema hayo Mwenezi Makonda kwenye ziara yake Moshi, Kilimanjaro.
Olaaaa ni nini alifu.....Huyo mbanga tunamsubiri kesho chugani hapa... Tusipomshika makalio hayo...
Huyu pimbi bado kidogo tu ataropoka namna walivyokuwa wanateka na kuua wakosoaji kama Ben Saanane.
"Mimi ni Mwenezi ninaebadilika kutokana na mazingira, ningeteuliwa kuwa Mwenezi kipindi cha Magufuli chuma wale jamaa wangenyooka.
"Sasa Kipindi hiki na mimi najaribu kuwa na kauli za mama, Mama mstaarabu, unatamani kupiga panch lakini unasema mhhh, mama sio mapigo yake haya. Sasa kwa upendo huo kwanini tumuonee mama wa watu? Kwanini tuchafue heshima ya Taifa hili?
"Kwanini na sisi ttuwe Taifa la Maandamano kama wenzetu Wakenya mpaka wanakosa watalii?"
Ameyasema hayo Mwenezi Makonda kwenye ziara yake Moshi, Kilimanjaro.
Vyombo vya Dola gani?Ni kweli maana ana backup ya vyombo vya Dola. Nje ya backup ya vyombo vya Dola ni mrembo tu.
Unauliza au unapigia jibu mstari!Vyombo vya Dola gani?