Makonda: Nitasimamia harusi za Lemutuz, Lulu na Meya wa Kinondoni

Makonda: Nitasimamia harusi za Lemutuz, Lulu na Meya wa Kinondoni

Kweli Tanzania ina mengi ya kufurahisha nchi nyingine watasubiri sana kutufikia
 
Umri wa kulea wajukuu yeye ndio anaoa binti mbichi wa miaka chini ya 30 si anatafuta lawama kwa vijana wapaka Puturu?
 
Sisi tunawaza hela ya kula japo mlo mmoja wao wanawaza harusi za kifahari tena kiongozi wa serikali huyu hana huruma na kodi zetu
Kwan hizo harusi zitagharamikiwa na serikali?
 
I don't know Lemutuz personally but I find some comments about him to be very mean and utterly sadistic. It's high time some people got over this gentleman.
 
Ajiandae kisaikolojia Pia kuishi Na 'kufuniko cha peni'
Aisee watu mna maneno acha kabisa.

Ila kifuniko cha peni' huwa hakipwai kwenye kalamu. Na bidada kakipendea hiko hiko kwan hata uwe na muwa kama hujui kutumia ni sawa na huna kitu
 
Afisa Mwandamizi wa Mawasiliano ya Ikulu ya Marekani, Omarose Manigault, alifukuzwa kazi kwa matumizi mabaya ya gari la Ikulu ikiwemo kumpeleka na kumrudisha kazini, kitu ambacho hakiruhusiwi USA, imebainika wiki hii.

Unadhani msafara wa harusi na shughuli nzima ya swahiba wa RC utatumia hela ngapi za magari, payroll ya jeshi la polisi, ofisi ya RC, na vyombo vya usalama?

Viongozi wa ki-Afrika wanaishi kwa anasa kwa hela ya walipa kodi. Na walipa kodi wenyewe sisi ni mazuzu tusiojua ya muhimu ya kufuatilia, waandishi wanamuuliza Mkuu wa Mkoa kama atasimamia harusi ya Le Mutuz. Sasa ukiwa unatawala mijitu kama hii kwa kweli unafika mahala unasema labda acha akina Makonda wale jasho letu.

Halafu jana Rais anasema anarudisha Tanzania ya Nyerere. Regional Commissioner wa Nyerere atajinasibu mbele ya waandishi kwamba anaenda simamia harusi ya Le Mutuz? Mtu anaerusha picha zake kutokea bafuni guest house?
Huwa tunasema uandish wa habar ni sauti ya watu......
Sasa kama mwandishi swali lake la muhimu ni akimuuliza Rc kuhusu kuwepo wa harusi ya lulu na majay unategemea jamii imepaziwe sauti gani zaidi?
 
Back
Top Bottom