Mhadzabe
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 3,236
- 4,746
Yaelekea ni mgeni jijini! Hahaha haNi arusi, sio msiba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaelekea ni mgeni jijini! Hahaha haNi arusi, sio msiba.
Mh. Mbowe mbona ni Kiongozi mzuri tu machoni pa wengi!?
Atalea watoto ambao ni wajukuuBabu le mutuz anaoa???huyo mke mtarajiwa ajiandae ajue kuwa mume wake bado kuna mambo ya ujana hajayapitia
Kwan hizo harusi zitagharamikiwa na serikali?Sisi tunawaza hela ya kula japo mlo mmoja wao wanawaza harusi za kifahari tena kiongozi wa serikali huyu hana huruma na kodi zetu
Aisee watu mna maneno acha kabisa.Ajiandae kisaikolojia Pia kuishi Na 'kufuniko cha peni'
Huwa tunasema uandish wa habar ni sauti ya watu......Afisa Mwandamizi wa Mawasiliano ya Ikulu ya Marekani, Omarose Manigault, alifukuzwa kazi kwa matumizi mabaya ya gari la Ikulu ikiwemo kumpeleka na kumrudisha kazini, kitu ambacho hakiruhusiwi USA, imebainika wiki hii.
Unadhani msafara wa harusi na shughuli nzima ya swahiba wa RC utatumia hela ngapi za magari, payroll ya jeshi la polisi, ofisi ya RC, na vyombo vya usalama?
Viongozi wa ki-Afrika wanaishi kwa anasa kwa hela ya walipa kodi. Na walipa kodi wenyewe sisi ni mazuzu tusiojua ya muhimu ya kufuatilia, waandishi wanamuuliza Mkuu wa Mkoa kama atasimamia harusi ya Le Mutuz. Sasa ukiwa unatawala mijitu kama hii kwa kweli unafika mahala unasema labda acha akina Makonda wale jasho letu.
Halafu jana Rais anasema anarudisha Tanzania ya Nyerere. Regional Commissioner wa Nyerere atajinasibu mbele ya waandishi kwamba anaenda simamia harusi ya Le Mutuz? Mtu anaerusha picha zake kutokea bafuni guest house?