Fradrick mkahe
Senior Member
- May 28, 2013
- 122
- 20
Hamna mpya
Hata swala ana fans wengi msituni, simba, fisi, mbwa mwitu , duma, chui.na wote hao wanampiga jicho saa zote lakini unajua mwisho wakeMakonda oyeeeee, haijawahi kutokea kiongozi kuongelew hivi. Yaani una fans wengi, ila hawataki tu kusema ukweli.Hongera kwako
Hapa kazi tu
Chawa chawaMadawa ya kulevya ni matokeo ya viongozi kufoji vyeti ili kupata madaraka,tuanze kuwapinga viongozi wenye vyeti feki wanatuharibia nchi.
Viongozi wote wa ccm ni mtihani na elimu zaoTukimaliza hili la vyeti vya Makonda, tuangalie Phd ya Sizonje. Ile phd ina maneno
Hivi mkuu wewe ukituhumiwa na kunyambuliwanyambuliwa kama huyo mkuu wa mkoa kuhusu tuhuma za kufoji vyeti kama haujafoji kweli utaacha kujitokeza na kuweka mezani hadi cheti cha ubatizo??Lete habari mkuu
Wacha wamdanganye ila kuna siku wataumbuka tuUwongo hupanda gorofa kwa lift ila ukweli kwa miguu ila itafika tu. Bashite aweke vyeti vyake hadharani n.a. nyie mapambe wacheni kumdanganya.
Mkuu ntaleta hadi cha ndoa....Hivi mkuu wewe ukituhumiwa na kunyambuliwanyambuliwa kama huyo mkuu wa mkoa kuhusu tuhuma za kufoji vyeti kama haujafoji kweli utaacha kujitokeza na kuweka mezani hadi cheti cha ubatizo??
Leo nimekudharau sana unatetea ujinga, kama ndio hivyo basi kulikuwa na sababu gani serikali kupiga kelele ya watumishi hewa? Ina maana unakubali tuwe na mkuu wa mkoa hewa? Unafahamu kuwa kughushi ni kosa la jinai? Huyo unaemtetea labda mnafahamiana ila aje mwenyewe ajibu tuhuma
aliyefoji cheti ndioMbona unakwepa muuza madawa ya kulevya.Muuza madawa kulevya ni wa kuogopa kama ukoma.
😀😀😀😀😀😀😀Tukimaliza hili la vyeti vya Makonda, tuangalie Phd ya Sizonje. Ile phd ina maneno
Angekua navyo angeviweka unadhani na yeye anapenda hali hii...View attachment 474877[/QUOTE
yaani usikute anarudia mitihani......
Hata Shetwani anaongelewa sana. Sema Sheitwani oyeeee!Makonda oyeeeee, haijawahi kutokea kiongozi kuongelew hivi. Yaani una fans wengi, ila hawataki tu kusema ukweli.Hongera kwako
Hapa kazi tu