Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

Mimi hata unga wa Mahindi Sijui unauzwaje lakini nahitaji kuona Huyu Mheshimiwa akituletea vyeti vyake tu.

Hayo mengine weka pembeni.
 
Iwe ni wauza madawa au wauza viroba au wasiuze au wachungaji vyovyote vile swala la msingi vyeti anavyo??
 
Naona mtu akienda mahakamani kutoa ushahidi dhidi ya hili!
Kabla ya Makonda kutangaza vita ya dawa za kulevya ishu ya vyeti vyake wala haikuuliziwa na mtu.

Mara baada ya kuanza kupambana na madawa ya kulevya, basi wafanyabiashara hao wakajitokeza hadharani kulia lia na kuzusha mambo yasiyo na ukweli ili kumshawishi Rais amtumbue Makonda.
Uzuri rais wetu ana msimamo usio yumba.

Aibu yao wauza madawa ya kulevya.
 
Mtaangaika kumficha huyu jamaa kwa madai eti watu wa madawa ya kulevya,lkn mwisho umefika hatutaweza kuwa na mkuu wa mkoa ambae elimu yake ni magumashi,hilo halipo ataondoka tu,labda kama Tanzania ni yake peke yake,lkn kama yetu sote atatoka tu,haiwezekani wengine wawe na haki alafu wengine wasiwenayo.
 
Kabla ya Makonda kutangaza vita ya dawa za kulevya ishu ya vyeti vyake wala haikuuliziwa na mtu.

Mara baada ya kuanza kupambana na madawa ya kulevya, basi wafanyabiashara hao wakajitokeza hadharani kulia lia na kuzusha mambo yasiyo na ukweli ili kumshawishi Rais amtumbue Makonda.
Uzuri rais wetu ana msimamo usio yumba.

Aibu yao wauza madawa ya kulevya.

Wacha ujinga wewe ishu ya vyeti vya Daudi ilianza kitambo kabla ya operesheni ya madawa ya kulevya, tatizo huna taarifa sahihi umezoea kudandia mambo ambayo yako juu ya uwezo wako wa kuelewa. Wekeni vyeti suala liishe na RC aendelee kuwatumiakia wana DSM.
 
Kutumia,kuuza na kusafirisha madawa ya kulevya in KOSA! Na kugushi ni kosa pia na yanasimimiwa na sheria tofauti. Hivyo hayana uhusiano. Vyeti mezani huruma baadaye.
 
rc ideas zero.... you have power lakini wewe kichwani ni vapour yaani blunt kabisa unajiingiza tu mahali kama dume la ng'ombe wa kisukuma huangalii hata miiba. Teseka sana wewe na dar
 
Kabla ya Makonda kutangaza vita ya dawa za kulevya ishu ya vyeti vyake wala haikuuliziwa na mtu.

Mara baada ya kuanza kupambana na madawa ya kulevya, basi wafanyabiashara hao wakajitokeza hadharani kulia lia na kuzusha mambo yasiyo na ukweli ili kumshawishi Rais amtumbue Makonda.
Uzuri rais wetu ana msimamo usio yumba.

Aibu yao wauza madawa ya kulevya.
Kwa hiyo vyeti anavyo hana.....

Isijekuwa wauza madawa wanamsingizia buuuuure
 
Makonda oyeeee

Wanasaga meno

Kawaambia maneno yaani mnaomchukia msipoenda kupeleka madai upupu eti hana nini sijui, itabidi mjipige vibao si kwa pozi lile ha ha haaaaa

Nikumbusheni alisemaje

Ha ha haaaaa

Nimecheka leo sanaaaa
Si kwa mahaba haya.....
 
Kabla ya Makonda kutangaza vita ya dawa za kulevya ishu ya vyeti vyake wala haikuuliziwa na mtu.

Mara baada ya kuanza kupambana na madawa ya kulevya, basi wafanyabiashara hao wakajitokeza hadharani kulia lia na kuzusha mambo yasiyo na ukweli ili kumshawishi Rais amtumbue Makonda.
Uzuri rais wetu ana msimamo usio yumba.

Aibu yao wauza madawa ya kulevya.
I for one am a Reverend. I have never seen the madawa in question. But am not happy with this scam. Kwahiyo unataka kusema na mimi ni mmoja wapo?
 
Itafikia kipindi hata raia wa kawaida akimkosoa makonda ataambiwa kaagizwa na na madruglord. MAMA TANZANIA NAKULILIA in mbatia voice[emoji36] [emoji30] [emoji30]
 
Kwako Paul Makonda, mkuu wa mkoa wa Dar es salaam,

Hongera na pole kwa jukumu ulilopewa la kuongoza jiji kubwa kuliko yote Tanzania. Ni imani yangu unalimudu jiji vizuri kabisa hata kuiridhisha mamlaka yako ya uteuzi na kufikia hatua ya kukupongeza hadharani tofauti na wateule wengine.

Napenda kukupongeza tena kwa ujasiri uliouonyesha wa kupambana na madawa ya kulevya kitu ambacho wengi waliopita katika nafasi yako hawakuwahi hata kujaribu japo kwa kunong'oneza tu, kwa hilo nakupongeza hadi hapo ulipofikia ingawa kuna makosa uliyoyafanya ila naamini ni ujana tu na ndio wanasemaga 'ujana maji ya moto'

Mheshimiwa mkuu wa mkoa,baada ya kukupongeza sasa niende moja kwa moja katika kile kilichonishawishi kuandika waraka huu kwani sikuandika ili kukupongeza tu,kuna jambo..

Mheshimiwa mkuu wa mkoa,ni siku kadhaa sasa tangu uanze kutuhumiwa mitandaoni eti wewe umeiba/umenunua jina la mtu aliyesoma kwa bidii na kufanikiwa kupasua vyema kunako darasa na umetumia cheti chake kujiendeleza kimasomo,kwani wewe cheti chako kimedhoofu sana na hakikuweza kukubeba ufike kule unakotaka kufika.

Mheshimiwa mkuu wa mkoa,wengine wamefika mbali kabisa na kuonesha kukujua kupitiliza na kudai eti wewe sio Paul Makonda eti Paul Makonda ni huyo wanaedai wewe unatumia cheti chake, eti wamekutaja kwa jina la Daudi Bashite wakidai ndio jina lako halali.

Mheshimiwa mkuu wa mkoa, tuhuma hizi zinazoelekezwa kwako zimeshika kasi kuliko moto wa kifuu pale kinapokolea na hazikomi siku hadi siku na sioni zikikoma bila kuwepo wa kukanusha.

Mheshimiwa mkuu wa mkoa, wewe kama kiongozi ni jambo la busara sana kujitokeza ukiwa na vyeti vyako vyote pamoja na cheti chako cha kuzaliwa ili kuwaziba midomo wale wote wanaodai ulitumia jina lisilo lako kujiendeleza kielimu..sio busara wewe kuendelea kudai hizo ni tuhuma za mtandaoni eti tuziache mitandaoni,ni kwanini tuziache mtandaoni zikiendelea kukuchafua wakati upo hai na unaweza kuita vyombo vya habari vikafika na ukamwaga ushahidi wote wa kuwaziba mdomo wale wanaokutuhumu kila siku?

Mheshimiwa mkuu wa mkoa, pia ni vizuri ukamtafuta huyo bwana wanaedai unatumia jina lake ili uwadhihirishie mbele ya wanahabari kwamba ni mfanano wa majina tu!

Mheshimiwa mkuu wa mkoa, sioni kama ni vizuri kila unapotuhumiwa ujifiche katika mwavuli wa madawa ya kulevya, eti kwamba kila wanaokutuhumu ni wale uliowaumiza katika vita yako ya kupambana na madawa ya kulevya, hapana tuhuma nyingine ni rahisi sana kuzimaliza na sio kutumia vita dhidi ya madawa ya kulevya kutafuta huruma ya wananchi.

Mheshimiwa mkuu wa mkoa, kamwe usiwasikilize wale wanaokudanganya eti kukutaka uendelee kunyamazia tuhuma kama hizi za kutumia cheti cha mtu kujiendeleza. Hao kaa ukijua kabisa hawakutakii mema, wanakuharibia! Kila inapokuja tuhuma dhidi yako wanakukingia kifua kwa kudai hao wanaokutuhumu ni miongoni mwa walioumizwa na vita yako dhidi ya madawa.. Tuhuma kama hizi ni vizuri sana kutokujificha chini ya mwavuli wa madawa ya kulevya na ukajitokeza kizijibu kwa ushahidi ili kuwanyamazisha hao ambao unaamini wanakutuhumu kwa kuwa uliwaumiza kwenye vita dhidi ya dawa za kulevya.

Mbali na hapo mheshimiwa mkuu wa mkoa nategemea utapitia waraka huu, na kama utaelewa basi utafanya vyema kuzimaliza kabisa tuhuma zinazoelekezwa kwako, kwani tuhuma hizo sio ndogo na pia sio nzuri kwa kiongozi.

Jipange, jitokeze, uyamalize!
Atavipata wapi?
 
Nakuomba sana ili hawa wauza unga ili waaibike onesha adharani vyeti vyako feki au wafungulie mashtaka kwa kukudhalilisha....Fanya hivyo kupunguza kelele ili uendelee kupambana na wauza unga....
Ukishindwa kufanya hivyo nenda kwa siri waombe msamaha watu hawa
1. Gwajima
2. Manji
3. Mbowe
4. Wema
5. Warioba
6. Lowasa
7. Kasimu Majariwa
8. Bunge

Ukishindwa kufanya hivyo andika barua jiuzuru ukuu wa mkoa nenda kijijini kalima au kasimamie biashara zako...achana na siasa..
mimi mwenyewe sina elimu ya kutosha. Lakin kwa hali hii aliyochafuliwa mweshimiwa hakika ningeonesha vyeti vyangu hadharan
 
Back
Top Bottom